Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Diaby hoping for pay-as-you-play deal at Arsenal

Abou Diaby is hoping to continue his career at Arsenal with a pay-as-you-play deal. The midfielder is set to be released when he contract expires at the end of June but could yet stay with the Gunners.

Source: The Times
Thursday, June 11, 2015 07:16
 
Arsenal Home kits for the upcoming season
arsenal home kit.jpg arsenal home kit 2.jpg
Arsenal home short.jpg Arsenal home short.png

Arsenal Home Goalkeeper Kit.

Arsenal GK.jpg Arsenal GK shorts.jpg

Arsenal Away Goalkeeper kit
Arsenal Gk 2.jpg Arsenal GK shorts 2.jpg

Puma don't make good jerseys in my opinion. I wasn't a fan of last season kits nor am I of the new season's . Jersey zetu na za Newcastle Utd zilikuwa kati ya mbaya msimu uliopita in my opinion.
 
hawa puma mbona madisigner wao wavivu sana kufikiria, duuh!! ati hiki ndo walichokifikiria kukitengeneza kwa msimu mzima...
 
Ratiba ya msimu mzima ya chama letu pendwa
 
Attachments

  • 1434550113636.jpg
    1434550113636.jpg
    83.4 KB · Views: 162
Ule muda wa kuzozana unazidi kukaribia..... Arsenal to win the PL by 5 pts coming May 2016 bookmark it
 
Our home run games, safi sana ngoja tuanza mechi zetu kwa kishindo .... ... Ding ... Dong!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
29536DC000000578-3122227-image-a-58_1434148315179.jpg

Arsenal midfielder Jack Wilshere has been fined £40,000 for his behaviour
as Arsenal paraded the FA Cup
(Mshahara wa siku kama mbili)

29A2B2E800000578-3128448-image-a-67_1434558231957.jpg

Wilshere (centre) has also been severely warned about
his future conduct by the Football Association

Ngoja walinyakue mwakani kwa mara ya tatu atafanya kufuru .... .... Ding ... .... dong!

  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama huzipendi usinunue. Mimi nimezipenda sana design yake ni ya kwenda mbele safi sana, COYG.

unanunua jezi kila msimu ? Binafsi hazipendezi but sio still mtu unaweza kununua for support. Last season nilinunua japo ckupenda style. Puma needs to do a better job in designing football jerseys look how awful Newcastle United jerseys look like, even Spurs had awful looking jerseys (made by Puma) few years ago
 
Wakuu kumekucha!

Arsenal jana wamekwenda Sporting Lisbon na wameweka mezani paundi milioni 28.8 kwa ajili ya kutaka kumsajili William Cavalho.

William anagharimu kama paundi milioni 37 hivi ambazo si tatizo lakini tuone kwa kuanzia na hizi 28.8 kama Lisbon watakubali kufanya deal.

Kama William atakuja Arsenal basi Man City wanaweza kumchukua Jack Wilshere ambae wanamtaka kwa paundi milioni 40.

Na Man City kuweka dau hilo kwa Jack Wilshere itatokea kama Paul Pogba atakataa kwenda Man City.

Tusubiri habari hii mut=rua ya kumpata huyu dogo ambae ni proper engine room na atakuja kusaidiana na dogo Francis Coquelin.

Sporting-Clube-de-Portugal-v-Chelsea-FC-UEFA-Champions-League.jpg

William Cavalho akikabiliana na Cesc Fabregas

Tusisahau pia tuna Petr Cech anakuja kwa paundi milioni 11

Martinez bado hajaamua aje Arsenal au aende AC Milan.
 
kama tukiweza kumpata Carvalho itakuwa poa san kwa upande wa DM na ukizingatia kijana bado umri unadai.
#COYG
 
Wakuu kumekucha!

Arsenal jana wamekwenda Sporting Lisbon na wameweka mezani paundi milioni 28.8 kwa ajili ya kutaka kumsajili William Cavalho.

William anagharimu kama paundi milioni 37 hivi ambazo si tatizo lakini tuone kwa kuanzia na hizi 28.8 kama Lisbon watakubali kufanya deal.

Kama William atakuja Arsenal basi Man City wanaweza kumchukua Jack Wilshere ambae wanamtaka kwa paundi milioni 40.

Na Man City kuweka dau hilo kwa Jack Wilshere itatokea kama Paul Pogba atakataa kwenda Man City.

Tusubiri habari hii mut=rua ya kumpata huyu dogo ambae ni proper engine room na atakuja kusaidiana na dogo Francis Coquelin.

Sporting-Clube-de-Portugal-v-Chelsea-FC-UEFA-Champions-League.jpg

William Cavalho akikabiliana na Cesc Fabregas

Tusisahau pia tuna Petr Cech anakuja kwa paundi milioni 11

Martinez bado hajaamua aje Arsenal au aende AC Milan.

kumuacha Ospina Kumnunua Cech Ni Matatizo Ya Akili
 
Back
Top Bottom