Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ka Jack Wilshere kajitu ka bwax ile mbaya, kale trouser kama kame loa loa na maji, utata, pombe au ...?
Why not hata AW atakubaliana nasi, the boys deserved those sessions...
 
10641286_965332856858963_3665091606327960163_n.png


When it looks like Arsenal fans MIGHT have caught whiff of a Twitter poll.
 
Mpira unafundishwa Colney mambo yote tumemwachia Prof ... ..... .si mmechikia mwizi wa FIFA kasepa anangoja kwenda jela, safisha safisha imeanza tinachubiri iendelee hizi timu zinazotumia Brown envelopes next! Patamu hapo.

Then kuna kamburukenge kalichema ati na chichi tuanze wizi ..... ....... na kanataka respect kwenye jukwaa hapa Aibu! naona karudi tu Kibera kakarushe flying toilets, kuliko kuja hapa na hadithi za Abunuwasi.
 
Eti Liverpool wanataka swap ya Gibbs + Walcott kwa Sterling lol. Crack cocaine is very harmful drug
 
Haya ndio ninayosema. As if ubingwa unaletwa na mfungaji mmoja peke yake. Soka ni mchezo unaoshirikisha wachezaji 11 katika kila timu.Kwa vile the so called pundits wanasema hivyo juu ya Giroud haimaanishi kuwa ni kweli kuwa haiwezi kutokea.Hata tukiwa na kina Messi, CR7, Aguero kama timu haichezi kitimu hatutafika popote

Kama soka ni mchezo unaoshirikisha wachezaj 11 basi mmoja akiwa kilaza uwanjani anafelisha wenzie waliobaki, tukubali tu giroud ni striker wa kawaida na kuna game nyingine tunakosa point kizembe mnooo kwakuwa safu yetu ya ushambukiaji ni butu... Kwahyo unataka kuniamisha arsenal haichez kitimu ndio maana giroud hafanyi poa, hao uliowataja km wangefanikiwa kucheza arsenal still wangetamba, arsenal inacheza kitim.. Ila striker letu ni kilaza
 
Kwa timu yenu ya sasa kumpa lawama Giroud ni kutokuitendea haki ligi nzima ya Premiership

Labda mimi sijui... huyo jamaa ana makosa gani? au afanye nini ili ndio "washabiki wafurahi"

Wanataka awe anafunga kama Christiano? £80m -£100m wanaweza kutoa kuleta mtu kama huyo?

Ligi haijatukanwa, tungetukana ligi km tungesema giroud is the best, nasisitiza kwamba giroud ni kawaida si lazma ununue kwa mipesa mingi atafunga, yuko wap di maria, veron, Torres etc, wengne walinunuliwa kwa bei chee wakawa kawaida, simlazmishi wenger kutumia mipesa mingi, ila ujue tu kuwa wenger ni binadam na kwa giroud alikosea, amedumbukia mtoni ni ameshindwa kupiga mbiz,amesiz watu hawqmuona, atafte striker mwingne
 
Ndio hilo naloshindwa kulielewa. Msimu huu jamaa kakosa miezi 3 kwa kuumia still kafunga magoli 19 all competitions bado wanalalama. Kabla ya kubeba FA Cup msimu uliopita walikuwa wanasema Giroud sio striker wa kuwezesha Arsenal kubeba any trophy, hilo limepruviwa otherwise, sasa mziki umegeukia katika EPL na UCL. Tutakapobeba EPL msimu (mark my word/ guarantee lol) ujao sijui watakuwa na wimbo gani mwingine. Mimi sio mpenzi wa Giroud lakini nasapoti anachofanya kwa timu.

Kufunga goli sio tatizo, ila kupoteza nafasi za waz za kufunga ni tatizo zaidi... Jiulize goli1 analopata giroud kakosa mangapi kabla, hatumii nafas ipasavyo, jiulize mwenyewe mchango wa giroud ktk fa cup hyo uizungumziayo wewe..
 
Eti Liverpool wanataka swap ya Gibbs + Walcott kwa Sterling lol. Crack cocaine is very harmful drug

Stering!!!!! Hata angekuwa kubwa la maadui, jicho langu la 3 linaona hana cha ziada, wala kipya atakachoongeza pale emirates... Liver watakuwa wehu kufkr hvyo,
 
Arsenal picha1.jpg

Huyo dogo aliyevaa kofia ni nani? Wacha1

Arsenal picha2.jpg
Mwingine ni jamaa aliyevaa kofia ya NY Yankees ni nani? Huyo mbele kushoto ni Debuchy au?
 
nyie NDANDA FC hamieni BARCELONA mbona mnakuwa vichwa vigumu.namna hyo
 
"It's not about who I like more between them. Every
time people ask me I tell them that you just can't
compare them. Ronaldo is more direct, is a pure
scorer. Messi scores a whole lot of goals but he
can also create a ton for others. If I was managing
a team, both of them would be very important but if
I had to choose only one, it would be Messi." :-
PELE
Messi or Ronaldo best player in the world? In the
world, I would say Ronaldo. Messi is from another
planet." - Turkish international Arda Turan
"Messi is God, as a person and even more as a
player. I knew him when he was a boy and I’ve
watched him grow. He deserves it all." - Samuel
Eto'o
"Although he may not be human, it’s good that
Messi still thinks he is." - Javier Mascherano
"They tell me that all men are equal in God’s eyes,
this player makes you seriously think about those
words." - Football commentator Ray Hudson
"Newton and Einstein had a certain level of autism -
I hope that, like them, Messi surpasses himself
every day and continues to give us his beautiful
brand of football." - Romario
"Messi is the Mozart of football." - Radomir Antic
"It is clear that Messi is on a level above all others.
Those who do not see that are blind." - Xavi
"There are three or four important things in life:
books, friends, women… and Messi." - Portuguese
writer Antonio Lobo Antunes
"Barca will never have a player like Messi again.
Messi’s greatness is present on and off the field of
play." - Barcelona president Sandro Rosell
"At this point I’m starting to believe that Messi is
tightly related to Clark Kent." - Israeli model Bar
Rafaeli
"Messi is class. There is him, and then there is the
rest. What he does is extraordinary." - Franck
Ribery
"We give him the ball and stand back and watch.
People often say to me they saw Pele and Maradona
play. In the future, I will be able to say I saw Messi
play." - Thiago Alcanatara
"He is always going forwards. He never passes the
ball backwards or sideways. He has only one idea,
to run towards the goal. So as a football fan, just
enjoy the show." - Zinedine Zidane
"He sees passes that most people can only see
whilst watching the game on TV, not ones that you
can normally see on the pitch." - Tata Martino
"For the world of football, Messi is a treasure
because he is role model for children around the
world… Messi will be the player to win the most
Ballons d’Or in history. He will win five, six, seven.
He is incomparable. He’s in a different league." -
Johan Cruyff
"I have played against Platini, Maradona, Cruyff and
played with George Best — a lot of big names, but
none of them has been able to do what Messi does.
Two years ago I said that the best player I played
against was Maradona and the best player I have
played with was Bestie. But I can now say I have
never seen a player as good as Messi. He’s in a
league of his own." - Former Tottenham star Gerry
Armstrong
"Diego [Maradona] filled us with emotions. But
between the cracks, without doubt, Messi is better
than Maradona." - Diego Simeone
"There is no doubt, you’re from another galaxy.
Thanks Leo." - Maxi Rodriguez
"Who is the Best Player in the World? Leo Messi.
Who is the Best Player Ever? Leo Messi." - Arsene
Wenger
"I have seen the player who will inherit my place in
Argentine football and his name is Messi. Messi is a
genius." - Diego Maradona
"I like Messi a lot, he’s a great player. Technically,
we’re practically at the same level." - Pele
"Messi does not need his right foot. He only uses
the left and he’s still the best in the world. Imagine
if he also used his right foot, Then we would have
serious problems." - Zlatan Ibrahimovic
"Fella’s a genius. Best ever by a distance in my life
time. Never really saw Pele… Souness, Gullit,
Venables and now Rooney agree Messi is the best
they have seen. He plays a game with which we are
not familiar." - Gary Lineker
"I played with Romario, Rivaldo, Ronaldo, Laudrup
and Stoichkov but Messi is the best I’ve seen" -
Former Barcelona and Chelsea star Alb
 
Ratiba msimu mpya wa EPL itatolewa tarehe 17 mwezi huu wa 6.
 
Back
Top Bottom