Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,205
Born Gunners Die gunners
Mambo ya Wembley hayo mkuu, na kesho tunajidai na ngao tunayo patamu hapo ..... ...... chi umeona timu #Mburukenge wameingia mitini, they knew what to expect from a well run club ... ...#COYG
![]()
Tumenyakua FA cup kwa mara nyingine.
Next ...... ...... Ngao na Mafioso team Wembley Stadium .... . . August.
hapo kwenye ngao ndo nataman tumtoe nishai yule mropokaji wa darajani. Hivi ni july tarehe ngapi vile?
tunapiga mtu 3 bila leo. huyu aston villa msimu huu kwn ligi tumempiga jumla ya goli 8-1 on aggregate
Agbonlahor....Grealish....Benteke.
I have a dream we shall see wonders today. I see misery for Arsenal fans...inshallah tutaiona hii game!!!
Ligi ni tofauti na FA final...
Stop over wishing...
Pamoja sana mkuu,
Ni boksi tu ndio huwa linanikaba lakini leo nimesema nna udhuru na nikasepa hawanioni hadi jumatatu.
Mimi ni mpenzi sana wa mpira na Arsenal na ndio usinambie kabisa.
Nipo natafuta habari za hapa na pale tunasubiri uthibitisho wa usajili wa Jackson Martinez.
........wale jamaa zetu wa mtaa wa saba bado wanapitia njia hii au wameshajizoelea sasa?
Stop over wishing...