BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hongera sana gunners. Nawaona #mburukenge, #wasagasumu na #vimburu wamenuna karibu ya kupasuka Khe Khe kheeeeeeeeeeeeeee CC: everlenk nadhani sasa umeamini maneno yangu kwamba ushindi ni kama KAWA. Rudi nyumbani banaaa achana na hao nanihii lol!!! Makombe yameanza kurudi lol! 🙂🙂
Last edited by a moderator: