JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Kama alivyo yeye pia kuna beki England hazioni aibu.....Inawezekana kabisa ikawa hivyo lakini huyu ni tofauti kabisa na OG
Huyu anapokuwa ndani ya 18 haoni aibu
Kama alivyo yeye pia kuna beki England hazioni aibu.....Inawezekana kabisa ikawa hivyo lakini huyu ni tofauti kabisa na OG
Huyu anapokuwa ndani ya 18 haoni aibu
Ni kweli mkuu lakini si unamjua Prof. Wenga hapendi masuperstar wakubwa sana,,,,falsafa yake ni kuwatengeneza!! Vile vile nimesikiasikia anamtaka A Vidal! Kuna ukweli wowote?
Count down kuwanyamazisha ma-haters kwa mara ya pili mfululizo then itafuata kuwanyamazisha kwa kubeba EPL msimu ujao.
Tuweke bet mapema kabisa...Arsenal akishinda EPL mwakani chini ya Wenger nitakulipa US$ 200 (wewe weka jiwe), na sitachangia wala kuingia kwenye JF Sports.
Msimu huu nimekula vichwa vya Loserfools....ila jamaa waswahili wameshindwa kutimiza bet...wanabaki kulialia tu juu ya Blandina Rogers 
Agbonlahor....Grealish....Benteke.
I have a dream we shall see wonders today. I see misery for Arsenal fans...inshallah tutaiona hii game!!!
tunapiga mtu 3 bila leo. huyu aston villa msimu huu kwn ligi tumempiga jumla ya goli 8-1 on aggregate
Ingekuwa vema zaidi kama wangeenda kwa Christian Benteke lakini ana matatizo ya goti na anagharimu zaidi ya 32 milioni.
Au wangeenda kwa Karim Benzema lakini Real wanataka zaidi ya 35 milioni.
BAK nakumbuka our promise nimekaribia kwa nguvu zote nimeandaa maua na champagne za kutosha sasa ole wenu msishinde........kila la heri.......
Hilo wala lisikuweke roho juu na kukupa pressure. Utashuhudia leo tukifanya yetu katika mechi ya kukata na shoka na kuchukua kombe kwa mwaka wa pili mfululizo. Shukrani sana kwa Champagne na maua.
![]()
Fabian Delph (C) - Jack Grealish & Charles N'zogbia - Gabriel Agbonlahor & Christian Benteke.
Be very afraid...be very!!!