Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 771
Yo! Cazorla ni Player of the Match kwa muono wangu. Jamaa kainyamazisha Midfield ya Villa.
huyu ni fundi, pasi zake ni za uhakika anavyochop ni shidaaa ila tumemmimsi mtu 1 Tomas Rosicky
Yo! Cazorla ni Player of the Match kwa muono wangu. Jamaa kainyamazisha Midfield ya Villa.
![]()
Back to back Fa cup winners
Hongereni wakuu wote wa Gunners ..... .... #COYG
Kaka Wacha1 uko wapi leo kicheko cha kujidai hakipo leo khee khee khee khee eee
Hongereni washabiki na wanazi wa Gooners...naona mnajilamba midomo tu leo 