Blow The Whistle @BTWOnline
Next week mida kama hii tutakuwa MABINGWA wa FA CUP kwa mara ya pili.....
![]()
Ni wakati wa kutetea FA cup sasa ... ... #COYG
Wakuu niaje?
Jackson Martinez anakuja Arsenal.
Habari zaidi baadae.
![]()
Martinez ana umri wa miaka 28 na ni mshambuliaji wa timu ya Porto FC ya Portugal.
Msimu ulopita amefunga magoli 21 tofauti kabisa na Olivier Giroud.
Mkataba wake na Porto unamalizika miezi miwili ijayo.
Ni kama OG tu....

Good news!
Ingekuwa vema zaidi kama wangeenda kwa Christian Benteke lakini ana matatizo ya goti na anagharimu zaidi ya 32 milioni.
Au wangeenda kwa Karim Benzema lakini Real wanataka zaidi ya 35 milioni.