rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Aiseee!!! Sunderland juu mmelipaki basi mkaliweza!!!
Mwaka kama wa 4 mfululizo wanaokoka kushuka daraja mwishoni mwishoni.
Aiseee!!! Sunderland juu mmelipaki basi mkaliweza!!!
Wachezaji kibao wanaonekana wamechoka. Afu tangu Rentboys wabebe kombe na sisi kupata nafasi ya CL inaelekea ari ya kucheza vizuri imepungua labda wanasubiri FA CUP ambayo nayo Villa watapaki basi lao then wategemee goli la kindondokela.
Mpogo humu jamani? Wacha1 ulinialika j5 nije mbona sikuoni???
Kuteleza si kuanguka, Winners of FA Cup for two consecutive years....Arsenal 3 AV 1 (May 30th, 2015)
Ha!!!! Wewe ndo mtabiri nani vile?