Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

11012060_10153114833202713_1189380695824377974_n.jpg
 
Nasikia miezi ya nyuma ulikuwa ukiwaona Wacha1 na rubaman wako mtaani ulikuwa unalog out na kuchungulia yanayojiri kupitia dirishani 🙂🙂

Teh teh the mimi sijawahi kukimbia nilikuwa napokea sindano zao hivyo hivyo najikaza kikike kama si kiume ila wao sasa likibuma wanakimbia humu miezi mpaka wasawazishe tena..... rubaman aliniahidi atarudi kwenye final ya FA eti anataka kuwa mbali na mitandao nashangaa leo kajaa tele hadi kule anatusumbua 😀😀
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
....lol! labda mchepuko umemruhusu arudi huku wiki moja kabla. Hapo kwenye rangi ni aje!
:msela::msela::msela:

Teh teh the mimi sijawahi kukimbia nilikuwa napokea sindano zao hivyo hivyo najikaza kikike kama si kiume ila wao sasa likibuma wanakimbia humu miezi mpaka wasawazishe tena..... rubaman aliniahidi atarudi kwenye final ya FA eti anataka kuwa mbali na mitandao nashangaa leo kajaa tele hadi kule anatusumbua 😀😀
 
Kumbe unajidai khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengoja tuchukue FA Cup kwanza si unafahamu leo tulikuwa tunamsghughulikia mtemi aliyewachabanga cheslick tatu mtungi khe khe he khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Ding ... Dong.

Teh teh teh hivi ushaenda kule kwa mafioso (according to Wacha1)? Mbona watakukoma?? Hongera sana umekuwa na kismati mwenzetu........
 
hahahahahahah lol! utapofuka macho weye!!!!! Una macho makali sana.
😀😀😀😀😀 mwenzangu macho hayana pazia! Najiwazia tu hapa alifikiri nini mpaka ikawa hivyo..... Duh!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
:behindsofa::behindsofa::behindsofa:

Yuko vizuri anafaa kwa matumizi ya binadamu...😎.......sikuwacheki NC vizuri hapo mwanzo nimecheki highlight za magoli now aiseee walishangilia sana utafikir wao ndo mabingwa..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kumbe unajidai khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengoja tuchukue FA Cup kwanza si unafahamu leo tulikuwa tunamsghughulikia mtemi aliyewachabanga cheslick tatu mtungi khe khe he khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Ding ... Dong.

Mr Bean hana chake safari hii!
 
Attachments

  • 1432505380972.jpg
    1432505380972.jpg
    19.1 KB · Views: 128
  • 1432505436312.jpg
    1432505436312.jpg
    21.4 KB · Views: 128
Hello Gunner's

Mlango wa Barclays Premier League umefungwa!.

Kombe limenunuliwa na Chelski kwa kutumia Chelsea rent boys!

Kwa upande wetu ninadhani hatujapiga hatua kwa sababu msimu wa 2013/14 tulimaliza na points 79 zilizoletwa kwa magori 68 na tulifungwa magori 41.

Msimu huu 2014/2015, tumemaliza na points 75 zilizoletwa na magori 71 huku tukifungwa magori 36.

Nadhani tumepata nafasi ya tatu kutokana na kushuka kwa kiwango cha timu ya The Reds mpaka kuishia kupata point 62.

Hata hivyo ni lazima tuwapongeze wachezaji wetu kwa kuhakikisha wamebakia kwenye nafasi ya tatu bora.

Macho na masikio ya wapenda football kwa sasa yanahamia Wembley Stadium kwenye FA Cup fanale.

By May 30, Arsenal will have appeared in 19 FA Cup finals, winning 11 of them!.

It's a remarkable record.
 
Teh teh teh hivi ushaenda kule kwa mafioso (according to Wacha1)? Mbona watakukoma?? Hongera sana umekuwa na kismati mwenzetu........

Khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chi-umeona kuna pics niliweka kule wameziondoa, Safi sana yaani wanakoma kwa kwenda mbele .... unafahamau mpira wa kununua haunogi they know that, thats why husda yao kwa Guinners haitaisha milele. Ngoja haka katapeli ka-Abrahamanovick kukate kamba ndio watajua zipi ni mbivu. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong. Ati ''where we dare to talk openly'' Thubutu!
 
Mentor i n g I d i o t s aka mungiki Brother unajidhalilisha, yaani kama kweli huo ushindi wenu ungekuwa mzuri usingeamkia kwenye thread ya Gunners hiyo tosha inaonyesha huna furaha kwa sababu ya ukweli ambao uko wazi ''You are a small team, a bunch of thieves, thugs, mafioso team hamna mnachojivunia bali ni ununuzi tu kwa mgongo wa chupa, hata EL anajaribu kununua urais khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado tutakurudisha Kibera uende kutumia flying toilets ndio ufahamu nini maana ya class na maendeleo. Huwezi kulala unamuota prof ukiamka tu unawaza Gunners the best run club, the team which plays beautiful football. Si uliona jana wale waliowacharaza tatu nunge tulivyowabamiza. Utakonda sana tu .... ... eat breath Gunners for the rest of your life. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

And then raha ya soka Kombe la mwisho ndio lenye raha zaidi njoo weekend Wembley uone kitale cha uhakika sio kile cha kununua kwa pesa za mkopo. Phew!
 
Back
Top Bottom