Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenals-Jack-Wilshere.jpg

Arsenals-Olivier-Giroud.jpg

Vijana walikuwa moto jana.
 
Hello Gunner's

Mlango wa Barclays Premier League umefungwa!.

Kombe limenunuliwa na Chelski kwa kutumia Chelsea rent boys!

Kwa upande wetu ninadhani hatujapiga hatua kwa sababu msimu wa 2013/14 tulimaliza na points 79 zilizoletwa kwa magori 68 na tulifungwa magori 41.

Msimu huu 2014/2015, tumemaliza na points 75 zilizoletwa na magori 71 huku tukifungwa magori 36.

Nadhani tumepata nafasi ya tatu kutokana na kushuka kwa kiwango cha timu ya The Reds mpaka kuishia kupata point 62.

Hata hivyo ni lazima tuwapongeze wachezaji wetu kwa kuhakikisha wamebakia kwenye nafasi ya tatu bora.

Macho na masikio ya wapenda football kwa sasa yanahamia Wembley Stadium kwenye FA Cup fanale.

By May 30, Arsenal will have appeared in 19 FA Cup finals, winning 11 of them!.

It’s a remarkable record.
Yap pamoja sana mkuuu ni ukwel

kuwa safari hii tumeshuka kwa point lakini pia safari hii vijana wamejitahid kwa kufunga magoli mengi na kuruhusu wavu wetu utikiswe mara chache. kama unakumbuka vizuri msimu uliopitamechi kubwa vijana waliruhusu magoli mengi lakini safari hii ni tofauti.
yote kwa yote tumebaki na mechi moja muhimu next weekend tukutane pale wembley.
#COYG .
 
Mentor i n g I d i o t s aka mungiki Brother unajidhalilisha, yaani kama kweli huo ushindi wenu ungekuwa mzuri usingeamkia kwenye thread ya Gunners hiyo tosha inaonyesha huna furaha kwa sababu ya ukweli ambao uko wazi ''You are a small team, a bunch of thieves, thugs, mafioso team hamna mnachojivunia bali ni ununuzi tu kwa mgongo wa chupa, hata EL anajaribu kununua urais khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado tutakurudisha Kibera uende kutumia flying toilets ndio ufahamu nini maana ya class na maendeleo. Huwezi kulala unamuota prof ukiamka tu unawaza Gunners the best run club, the team which plays beautiful football. Si uliona jana wale waliowacharaza tatu nunge tulivyowabamiza. Utakonda sana tu .... ... eat breath Gunners for the rest of your life. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

And then raha ya soka Kombe la mwisho ndio lenye raha zaidi njoo weekend Wembley uone kitale cha uhakika sio kile cha kununua kwa pesa za mkopo. Phew!

I woke up trolling every team..Man useless, Ars-anal, Liverfools....not just you small mind!

We enjoy our win...na wala hamuwezi kulibadili hilo!!!! Tunakuja kwa kasi ya ajabu.

Endeleeni kutuita hayo majina yenu...inatufanya tufurahie ushindi zaidi!

Vipi unajisikiaje kufungwa na small team? Good huh???!

Unafurahia kumfunga Westbrom...sisi tunafurahia kushinda ligi, see the difference between small club and big club??? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The last cup that is the sweetest ni UCL pekee. FA na Carling/Capital cup ni the same rank my man! Wacha kujifanya much know...

Duh! najua unaumia sana Wacha1 ...pole sana braza...

1780886_10204253047675445_6968070816453121989_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
@wacha1 njoo hapa uniambie kama hii picha inadanganya pia...daaaadeki

11168014_981383288541601_8929594500623116931_n.jpg

Invisible Mentor i n g I d i o t s aka Mngiki Brother kama kweli haikuumi kwa nini unaondoa picha ninazoweka mimi na kuacha mnazoweka nyinyi? Huo ndio tunaita umangimeza. Small team no class i d i o t i c ideas. kabla ya Romano were where you? Hiding in the cow shed chacha chubiri uone ule mpango wa kununua wachezaji nyota kutoka Gunners umeisha ni kuwewesekaweweseka kwenu ndio sababu mnagwaya. Kama nyie ni club kubwa kwa nini mnaposhinda mnabandika picha zenu kwenye thread ya Gunners? Umeshaona Gunners au timu yoyote wanabandika top story zao kwenye majukwaa mengine? Ndio wivu wenyewe huo, ndio Umburukenge wenyewe huo, ndio u-small team huo mnategemea kubebwa kila uchwao, mlichema mwaka huu kulikuwa na campaign kutoka FA nk yaani ni katimu kadogo sana kazi yake kulialia tu na vishabiki vyake koko viko hivyo hivyo tu ... .khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

Kama mnachema hamna wivu iko wapi''new Era at the Emirates? Ziko wapi picha ninazoweka kwenye thread yenu?

BTW Gold Premier League is more than any cup ..... ..... mlishinda lini? Ubora wa kikombe ni mechi kwenye competition sio kununua. You will always park the bus hata Mancs wananunua tu siku hizi, Je, hivyo vikombe ni vya kujivunia kweli?

Ukiona mwizi anamshabikia mwizi basi fahamu na yeye ni jambazi sugu.
 
I woke up trolling every team..Man useless, Ars-anal, Liverfools....not just you small mind!

We enjoy our win...na wala hamuwezi kulibadili hilo!!!! Tunakuja kwa kasi ya ajabu.

Endeleeni kutuita hayo majina yenu...inatufanya tufurahie ushindi zaidi!

Vipi unajisikiaje kufungwa na small team? Good huh???!

Unafurahia kumfunga Westbrom...sisi tunafurahia kushinda ligi, see the difference between small club and big club??? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

The last cup that is the sweetest ni UCL pekee. FA na Carling/Capital cup ni the same rank my man! Wacha kujifanya much know...

Duh! najua unaumia sana Wacha1 ...pole sana braza...

@wacha1 njoo hapa uniambie kama hii picha inadanganya pia...daaaadeki

11168014_981383288541601_8929594500623116931_n.jpg

Bloody liar .... ... uwe unaona aibu Braza khe klhe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ule ujanja ujanja wako wa Kibera hautafua dafu hapa khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
 
Invisible Mentor i n g I d i o t s aka Mngiki Brother kama kweli haikuumi kwa nini unaondoa picha ninazoweka mimi na kuacha mnazoweka nyinyi? Huo ndio tunaita umangimeza. Small team no class i d i o t i c ideas. kabla ya Romano were where you? Hiding in the cow shed chacha chubiri uone ule mpango wa kununua wachezaji nyota kutoka Gunners umeisha ni kuwewesekaweweseka kwenu ndio sababu mnagwaya. Kama nyie ni club kubwa kwa nini mnaposhinda mnabandika picha zenu kwenye thread ya Gunners? Umeshaona Gunners au timu yoyote wanabandika top story zao kwenye majukwaa mengine? Ndio wivu wenyewe huo, ndio Umburukenge wenyewe huo, ndio u-small team huo mnategemea kubebwa kila uchwao, mlichema mwaka huu kulikuwa na campaign kutoka FA nk yaani ni katimu kadogo sana kazi yake kulialia tu na vishabiki vyake koko viko hivyo hivyo tu ... .khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

Kama mnachema hamna wivu iko wapi''new Era at the Emirates? Ziko wapi picha ninazoweka kwenye thread yenu?

BTW Gold Premier League is more than any cup ..... ..... mlishinda lini? Ubora wa kikombe ni mechi kwenye competition sio kununua. You will always park the bus hata Mancs wananunua tu siku hizi, Je, hivyo vikombe ni vya kujivunia kweli?

Ukiona mwizi anamshabikia mwizi basi fahamu na yeye ni jambazi sugu.

287613AE00000578-0-Bayern_Munich_defender_Jerome_Boateng_tweeted_this_meme_on_Frida-a-3_1431094801530.jpg
 
WHERE WE WERE BEFORE THE ROMAN EMPIRE:

Other aspects are more enduring: the first top-flight London derby, a 2-1 Chelsea win against Arsenal, was contested on 9 November 1907. A similar outcome settled the first ever encounter with Tottenham Hotspur on 18 December 1909.

LINK: 1900 | The Club | Official Site | Chelsea Football Club
 
Ka- Mentor i n g i d i o t s kameanza kuwewesekaweweseka khe khe khe khe khe kheke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

Hebu mwekeni daktari karibu kasije kuanguka .... ..
 
Bloody liar .... ... uwe unaona aibu Braza khe klhe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ule ujanja ujanja wako wa Kibera hautafua dafu hapa khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.

Show me where the lie is....

WHERE WE WERE BEFORE THE ROMAN EMPIRE:

Other aspects are more enduring: the first top-flight London derby, a 2-1 Chelsea win against Arsenal, was contested on 9 November 1907. A similar outcome settled the first ever encounter with Tottenham Hotspur on 18 December 1909.

Hiding in the cow shed .. .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee even with £1 billion still rotting the the dungs .... .. ..khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
 
Jack Grealish:

_78352940_hi023982664.jpg

Hata mkishinda hiyo siku nitakuwa namwangalia huyu dogo...natumai atawaliza vya kutosha!
 
Back
Top Bottom