kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
Mi nilisema jogoo tumechinja halafu tumeliachia!!! Kila mtu anajua mini huwa kinatokea..... #HeadlessChicken
Tulishalilegeza bolt zote, kazi kwao.
Mi nilisema jogoo tumechinja halafu tumeliachia!!! Kila mtu anajua mini huwa kinatokea..... #HeadlessChicken
Ila kila mtu anayaogopa majogoo 11 vs 11!! Hata leo walikuwa 11 vs 10!! khe khe khe khe
Dua zangu tuwafunge chelsea maana mou kuna karekod anataka kukatengeneza ka kipuuz
Ata Wenger na yeye anaomba hivo hivo.....lkn hiyo record hawezi kuivunja
hata man u walikuwa wanasema hivyo hivyo ila kilichowatokea walibakia kumlaumu Welbeck
wahenga walishasema mfa maji haishi kutapatapa. Kabla hajapewa red tulikuwa na magoli mangap?
Tuwe wakweli hata mioyoni mwetu. Arsenal kumfunga Man U kwenye kombe la FA halikuwa jambo la ajabu. Wakati Wenger alishusha kikosi cha kulipa kisasi cha kufuta uteja wa karibia decade, Van Gaal yeye akapanga kikosi ambacho hata Aston villa, Liverpool, Spurs wangekifunga. Ufupi ni kwamba FA haikuwa target ya Van Gaal mawazo yake yote aliyaelekeza kwenye mechi 6 ngumu za ligi kuu na matunda yameonekana.
Arsenal ilishindwa kukifunga kikosi cha David Moyes itaifunga Man U hii ya Spurs, Liverpool, Aston villa hiyo ni ndoto ya mchana.