Sasa Mkuu si unajua hii ni lala salama Mkuu na unajua fika kipi ningependa kitokee katika mechi yenu itakayofuata baada ya hizi zinazoendelea. Sasa hivi nawaangalia MANU na AVL. Naogopa kusema nisije nikakupandisha pressure bure Mkuu Ntuzu lol!
so unajua adui mwombee njaa