BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
​lol! Hahahahaha Chezeya kupenda weye!!!
Haunishindi mie yani moyo unadunda si kawaida kwakweli
Haunishindi mie yani moyo unadunda si kawaida kwakweli
Wakati monaco tumeishika mbona mlikuwa kimya?Tupongezeni maana tumejitahidi na acheni roho za chuki
Piers Morgan piersmorgan · 6m 6 minutes ago Wamepigana vita gani?Hawa ndiyo zao ktk historia ya CL wao hucheza hovyo home hugangamala ugenini
Hawana lolote la maana na usiitupe pole yako dada kwa watu wasio stahili
Ehehehehe Wacha1
Duh!! Poleni sana wapendwa wangu BAK utafiti Wacha1 Honey Faith nifah dah!! Vita mmevipiga ndo vile tena.....Tushukuru kwa Yote.
Asante mumie na tumepigana sana sema bahati haikuwa upande wetu
​lol! Hahahahaha Chezeya kupenda weye!!!
Wakati monaco tumeishika mbona mlikuwa kimya?Tupongezeni maana tumejitahidi na acheni roho za chuki
Piers Morgan piersmorgan · 6m 6 minutes ago
How can you hail a Champions League record that features 5 Last 16 exits in last 5 years? It's awful. #afc
Its okay, we did our best...so painful though!