boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
Mbona arsenal mnatoka kwa style hii hii duh
Daah mpira umeisha na inaumiza sana tena sana!!...ila makosa tuliyafanya wenyewe kwenye ile mechi ya kwanza nyumbani kwetu.
Sorry Guys our efforts were not good enough for the third goal.
Sorry Guys our efforts were not good enough for the third goal.
Mungu saidia hawa jamaa wasipite maana wakipita duniani hapata kuwa sehemu salama ya kuishi
Monaco toeni hawa vibonde warudi kwao England kwenye lig yao ya maneno mengi.
Oooooooh!!! Asante Mungu kwa kusikia sala zangu:lol::lol:
Wakati monaco tumeishika mbona mlikuwa kimya?Tupongezeni maana tumejitahidi na acheni roho za chuki
Duh!! Poleni sana wapendwa wangu BAK utafiti Wacha1 Honey Faith nifah dah!! Vita mmevipiga ndo vile tena.....Tushukuru kwa Yote.
Duh!! Poleni sana wapendwa wangu BAK utafiti Wacha1 Honey Faith nifah dah!! Vita mmevipiga ndo vile tena.....Tushukuru kwa Yote.