Kidude kimoja ndo mpango mzima, muasisi Okwi......
Hongera nimeona kitu cha pili.
Honey Faith akihakikisha ushindi basi huwa hakosei, ila sijaridhishwa na kiwango cha uchezaji anao anao nyingi sana hasa tunapokuwa kwenye goli la WH. Kwa kiwango hiki sidhani kama tutaweza kuwafunga Monaco 3-0 kwao hiyo March 17, 2015.
hongera sana wangu naona mmetupia,aisee mpka mfunge ndo washirika waje,naona Giroud atakuwa karekebisha makosa yake ya Monaco.
Umeona eeeh na toka nije kwenu ushindi ni lazima.Mtoto nina kismat atiii!!😀
Arsenal nafasi yao itakuwa fourth. Utd second city third Chelsea bingwa
Arsenal nafasi yao itakuwa fourth. Utd second city third Chelsea bingwa
Hongereni sana