rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
![]()
![]()
Arteta is back training
![]()
![]()
COYG all the best J1 Emirates against West Ham
Arsenal used to be a French few years ago now it's a part English and part Spanish.
![]()
![]()
Arteta is back training
![]()
![]()
COYG all the best J1 Emirates against West Ham
[MENTION=10470]everlenk bado tu hujasahau maumivu?? Mbona wiki sasa inaisha, hahah binafsi nakuombea wewe kesho ushinde ili wale wajuu ushindani uwe mzuri zaidi, sisi mda si mrefu tunaongeza points 3
No, wanatakiwa kutunguliwa kesho au kutoa draw.Hakuna haja ya kuwaonea huruma
Hahahaha!! Wewe unajidai kwa sababu ni my first love wangu ngoja nikupige chini uone madua yangu yanavyotenda kazi, we mkifungwa leo watakuja wote na kigodoro kinafunguliwa hapa hapa kama cha siku ile kwa Chelsea!!!
Nashukuru hata kwa kunipa hiyo heri ya unafiki najua hunipendi kabisaaa lol
Mshughulikie mupenzi japo uji utamsaidia apate nguvu ya kuweza kutoka hata kitandani japo kwa masaa machache. Anahitaji kula ili apate nguvu. Haya ngoja niendelee kufuatilia hii game tunahitaji at least goli kabla ya half time ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuchukua 3 points.
leo naikosa game yenu,uje unihadithie badaye hata kama mtacheza vibaya unihadithie yote,mi nafatilia hapa na live score.
leo naikosa game yenu,uje unihadithie badaye hata kama mtacheza vibaya unihadithie yote,mi nafatilia hapa na live score.
Usijali my dia sie ushindi wa leo ni lazima.
Ni kweli aisee lakini hawa WH wanatishia furaha yetu, haka kagoli kamoja hakatoshi.