utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
hahahahaha lol! utafiti aliniambia mama yako ana maswali magumu, "Nimwambie nani baba?" Mwambie Utafiti mama anaongeza swali lingine "Wewe ni mkwe wangu, mnafanya kazi pamoja, au kwa kifupi mkojemkoje?" Maswali kama haya lazima Utafiti asepe haraka sana badala ya kupata kigugumizi "Baba mbona hujibu maswali yangu? Umepata kigugumizi?" "Ngoja nikuletee maji ya kunywa labda utaweza kuyajibu" hahahahahaha lol! Chezeya mama yake Honey Faith weye!!!
Hahaha yaani BAK kama ulikuepo aisee, tena baina ya swali na swali hupati mda wakufkiria jibu
Last edited by a moderator: