Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Sasa ni wakat wakumfunga na chelsea maana naona mourinho kuna karekod ka kipuuzi anataka kujitengenezea
MAJOGOO wanamchapa huyu hapo hapo kwake wala hii isikuhangaishe
Sasa ni wakat wakumfunga na chelsea maana naona mourinho kuna karekod ka kipuuzi anataka kujitengenezea
Tunashukuru sana wadau kutuondolea kelele hapa!
Maisha mema kijana Welbeck
Mpira hautabiriki. Nilidhani Arsenal na Man City tu ndo watatolewa raundi hii. Chelsea wamekuwa wa kwanza kuyaaga. Tusubiri makamilisho next week. Come on ARSENAL!!!!!!
Baada ya kipigo cha juzi toka kwa Arsenal mpenzi wa Man Utd ajiua huko kenya.
Manchester United fan commits suicide after Arsenal loss