BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Pole sana Teja. Mateja wenzio tulikuwa tunakenua tu kwa raha zetu. Yule Teja maarufu Fixed Point alionekana katililia kitop cha Gunners. Mwenyewe hudai akivaa kitop hiki siku ya game ya Gunners basi ushindi ni lazima na leo imethibitika hivyo kwa mara nyingine tena.
Niseme nini tena? Hongereni sana Arsenal fans.