Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu mimi naamini kabisa kua Monaco mtakwenda kuifunga sn tu km mlivoifunga ManU jana.

Huyu kocha wenu mzee Wenger pamoja na mapungufu yake, wakati mwingine akiamua kufanya kz yake ata dunia husimama kwa muda na kustaajabu.

Nakumbuka hapo nyuma, Ac Milan ilitoka hapo kwenu ikiwa imewafunga km sikosei hivo ikabidi Arsenal na yeye vovote vile akashinde kule Milano Italy. Na kweli na kabla ya kwenda huko Mzee Wenger alisema anataka kuushangaza ulimwengu na kweli Milan ilipigwa Mbili bila ndani ya Sanciro.

B, Munich walikuja hapo kwenu wakaifunga Arsenal kutokana na kadi nyekundu iliyotelewa kwa makusudi ya mwamuzi na kuifanya Arsenal kua pungufu na kufungwa na Munich.....na Mzee Wenger aliilalamikia sn hii kadi na maana ni km mwamuzi alifanya makusudi. Lkn mchezo wenu wa pili kule Ujerumani mliweza kumfunga Munich ingawa hamkuweza kusonga mbele.

Sasa nikiangalia hayo yote na nikiangalia mmeshinda away games mbili kubwa kwa Man City na Manu jana na nikiangalia Historia yenu ya kushinda pale mnapokua ktk hali ngumu bila kujali mko ugenini au lah, Basi ninaona mna kila sababu na uwezo wote wa kuifunga Monaco....ila mnaweza mkashinda lkn mkashindwa kuitoa Monaco na km mtapambana sn basi mataitoa Monaco.

Binafsi ningependa sn kuwaona bado mnashiriki UCL maana rafiki yangu utafiti ntakua siomuoni ktk vibanda umiza kuangalia mpira km mtatolewa mapema.

Kiongozi ulichosema kina ukweli asilimia kubwa. Wenger amestaajabisha wengi, hasa timu inapokuwa katika wakati mgumu.

Tulifanya hivyo kwa AC Milan lakini tulitolewa kwa magoli ya ugenini, tukafanya hivyo hivyo kwa Bayern Munchen na kutolewa katika hali kama hiyo.

Ngoja tuone kwa Monaco hali itakuwaje. Tatizo wale jamaa hawafungiki kirahisi. Hilo ndio linanipa wasiwasi.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya ac Milan ilikuwa tumetoka 0-0 then kwao ndo tukashinda 2 bila!!na pia ipo record ya inter Milan kushinda kwetu 3-0 na tukaenda shinda 5-1 sansiro!!Yote yanawezekana hapo ni kujituma na kuwa makini zaidi mchezoni

Ni kweli mkuu, unajua mimi ni shabiki wa Chelsea lkn wakati mwingine haka kazee kenu ka Wenger ni ka mtu hatari sn....yani unaweza ukaifeel kabisa ndani ya mwili na mind kua kanakwenda kuua mtu.... na kweli unakuta inatokea km ulivofeel hiyo kitu. Mfano michezo yenu ya Etihad na kwa ManU jana mimi nilikua nawambia rafiki zangu mashabiki wa Arseanl mitaani kua mtazipiga hizo timu na kweli imetokea hivo....kwahiyo mkuu km watajituma sn km ulivosema basi Monaco atautafuta mpira kwa tochi km manU jana.

Kiongozi ulichosema kina ukweli asilimia kubwa. Wenger amestaajabisha wengi, hasa timu inapokuwa katika wakati mgumu.

Tulifanya hivyo kwa AC Milan lakini tulitolewa kwa magoli ya ugenini, tukafanya hivyo hivyo kwa Bayern Munchen na kutolewa katika hali kama hiyo.

Ngoja tuone kwa Monaco hali itakuwaje. Tatizo wale jamaa hawafungiki kirahisi. Hilo ndio linanipa wasiwasi.

Kiongozi Eli79 haiitaji kua na mashaka juu ya hili maana ata sisi watu wa nje amabao sio Gunners tunaujua ubora wa Wenger hasa nyakati hizi...Monaco sio wagumu km Ac MIlan ya wakati ule lkn usiniambie kua ata Arsenal ya wakati ule ilikua nzuri kuliko hii mi ntakataa mkuu.

Nimetoa sababu hapo nyuma kuelezea ni kwanini mtaweza kuifunga Monaco.Na mimi binafsi naamini hivo mnaweza.
 
Last edited by a moderator:
Mani Huo ndiyo mpira.......kushinda ama kufungwa ama droo....sasa na lazma katika hayo moja litokee.....MAN U imetokea tumefungwa na timu ndogo kama arsenal ni mchezo tu.....ila next time mambo yatakuwa mazuri.......

Timu ndogo ngoja Jiwe akusikie.....
hahaaaaaa jana nilivyosikia haya matokeo nikakukumbuka
nikakumbuka na lile chimbo tuliloangalizia kipindi kile sijui kulikuwaje jana
 
Timu ndogo ngoja Jiwe akusikie.....
hahaaaaaa jana nilivyosikia haya matokeo nikakukumbuka
nikakumbuka na lile chimbo tuliloangalizia kipindi kile sijui kulikuwaje jana

acha tu sipumui hapa nilipo.....mashabiki wa arsenal unajua hawaamini mana sie vibonde wao....sasa ni kelele kila mahali......

lile chimbo kwa mechi ya jana tungekufa sijui DEO ana hali gani mana nikikumbuka siku ile alisema akifungwa anaitwa ashura.....hahahaa sipati picha leo uko halipo.....
 
Ahsante sana rafiki, salam kwa wote. Pole kwa ubusy wa kazi pamoja na hayo ulitafuta nafasi ya kuangalia. Uwe unaangalia mechi zetu nyingi maana kila ukiangalia tunashinda 🙂🙂.

Siku na kazi njema rafiki.

kwa kweli nilifuatilia haswaaaaa......
hongereni sana rafiki.
 
Tunashukuru sana maana wachezaji wa MANU na wapenzi wa timu yao walisema hovyo sana kabla ya mechi kwa kujua kwamba mchezo ule wa jana wangeibuka kidedea sasa wamepakatwa tena nyumbani kwao, kimyaaaaaa.

Loh!!! Haya maneno ya mwisho ni magumu sana kwa Heaven on Earth maana naye ni MANU...........uwe unaweka tasfida kidogo jamani Lol.
 
Last edited by a moderator:
Hmmmm! Mtakuwa mlimrubuni 🙂🙂 Heaven on Earth ajiunge na timu yenu, siku zote hupenda sana kuiangalia Arsenal inapocheza ukilinganisha na MANU na hufurahia sana jinsi tunavyocheza mpira wa kuvutia 🙂🙂

Loh!!! Haya maneno ya mwisho ni magumu sana kwa Heaven on Earth maana naye ni MANU...........uwe unaweka tasfida kidogo jamani Lol.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni wakat wakumfunga na chelsea maana naona mourinho kuna karekod ka kipuuzi anataka kujitengenezea
 
Hmmmm! Mtakuwa mlimrubuni 🙂🙂 Heaven on Earth ajiunge na timu yenu, siku zote hupenda sana kuiangalia Arsenal inapocheza ukilinganisha na MANU na hufurahia sana jinsi tunavyocheza mpira wa kuvutia 🙂🙂

Hajarubuniwa ni mpenzi wa Manu tu, ila sikuhizi ametukimbia haji kambini kumbe weye ndo wamvutia huku eh?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
LoL! Ngoja aje aseme kama yeye ni mpenzi wa MANU au Arsenal. Usianze kumuandikia PMs ili aamue upendacho wewe 🙂🙂. Wewe mwenyewe inadaiwa unaihusudu sana ila ukosefu wa makombe kwa miaka kadhaa ukakufanya uhamie timu nyingine kama yule nanihii 🙂🙂

Kwa waziri mkuu siendi wewe nishike mkono kabisa...... Ahh!!! Mimi huwa nawakubali sana mkiwa dimbani full burudani ila kuwa shabiki damu hapana aiseee!!!!! Stress siwezi ingawaje miaka hii 2 mhh!! Zinavumilika lakini so kama zenu,lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapiga bunduki mlio geuka warusha mishale

Jumatatu mmenifurahisha sana nyie watu!Kelele zote mmezikata hapa jamvini
 
Back
Top Bottom