Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger amewapatia harufu kidogo.
Mpira haukuwa mzuri...nothing of flowing football..no pace..dives and silly fouls.

Arsenal ni timu ya ajabu. Di Maria alitolewa uwanjani lakini Arsenal hawakuonekana wanataka ku-kill the game. Hakuna mchezaji anaweza kuvurumisha kombora, wanataka kufunga mabao ya slow motion.

Kwa kweli bahati ilikuwa upande wenu leo kwa kutolewa Di Maria. Isingekuwa hivyo, hii mechi ingeishia kwa sare au Arsenal kufungwa.

Wenger out or in?
Endelea kujidanganya!! We are on fire kwenye hii FA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Paul Scholes: "When Man United face Arsenal on Monday, it is hard to see Arsenal winning."
 
Wenger amewapatia harufu kidogo.
Mpira haukuwa mzuri...nothing of flowing football..no pace..dives and silly fouls.

Arsenal ni timu ya ajabu. Di Maria alitolewa uwanjani lakini Arsenal hawakuonekana wanataka ku-kill the game. Hakuna mchezaji anaweza kuvurumisha kombora, wanataka kufunga mabao ya slow motion.

Kwa kweli bahati ilikuwa upande wenu leo kwa kutolewa Di Maria. Isingekuwa hivyo, hii mechi ingeishia kwa sare au Arsenal kufungwa.

Wenger out or in?

tukuulize wewe LGV in or out? Stay away 4m our prof
 
All the way to retain our Cup.. Afu uzuri zaidi ni kuwa Manchester United wataikosa top 4 kwa mara ya 2 mfululizo na hasara za £150M juu. Bookmark this Nzi, DonDonald, Belo, Mndengereko, RRONDO, Malafyale,Mfarisayo,tpaul,Mbu,Wacha1,utafiti
 
Kwanza Di Maria ali-dive...

93bb2850-c6a4-11e4-adc0-3169de0728d7_dive1.jpg

Refaree akamuonya kwa kadi ya njano...

b1b9fd90-c6a4-11e4-b581-f762334b5584_dive3.jpg

Di Maria akukubali, akataka kuchana t-shirt ya refa, akatolewa nje.

771134b0-c6a4-11e4-b581-f762334b5584_dive2.jpg

  • Thanks
Reactions: BAK
kwahiyo unakikana ulichoandika ama ulipagawa na ushindi wetu and who is the gel?
Unajua kusoma kweli?
Kama unajua , soma nilichokiandika tena.

Usiwe unarukia daladala tu bila kujua inaelekea wapi.
Wewe humjui the gel??

Uliza mdudu Nzi.
 
At least tuna hope ya kubeba kombe mwaka huu Semi-final tutacheza na Bradford/Reading vs Arsenal. Hopeful tutakutana na Aston Villa finali. COYG!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Plan kufa kabisa😀😀😀😉😉
 
Attachments

  • 1425940585531.jpg
    1425940585531.jpg
    38.8 KB · Views: 173
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom