Mkuu mimi naamini kabisa kua Monaco mtakwenda kuifunga sn tu km mlivoifunga ManU jana.
Huyu kocha wenu mzee Wenger pamoja na mapungufu yake, wakati mwingine akiamua kufanya kz yake ata dunia husimama kwa muda na kustaajabu.
Nakumbuka hapo nyuma, Ac Milan ilitoka hapo kwenu ikiwa imewafunga km sikosei hivo ikabidi Arsenal na yeye vovote vile akashinde kule Milano Italy. Na kweli na kabla ya kwenda huko Mzee Wenger alisema anataka kuushangaza ulimwengu na kweli Milan ilipigwa Mbili bila ndani ya Sanciro.
B, Munich walikuja hapo kwenu wakaifunga Arsenal kutokana na kadi nyekundu iliyotelewa kwa makusudi ya mwamuzi na kuifanya Arsenal kua pungufu na kufungwa na Munich.....na Mzee Wenger aliilalamikia sn hii kadi na maana ni km mwamuzi alifanya makusudi. Lkn mchezo wenu wa pili kule Ujerumani mliweza kumfunga Munich ingawa hamkuweza kusonga mbele.
Sasa nikiangalia hayo yote na nikiangalia mmeshinda away games mbili kubwa kwa Man City na Manu jana na nikiangalia Historia yenu ya kushinda pale mnapokua ktk hali ngumu bila kujali mko ugenini au lah, Basi ninaona mna kila sababu na uwezo wote wa kuifunga Monaco....ila mnaweza mkashinda lkn mkashindwa kuitoa Monaco na km mtapambana sn basi mataitoa Monaco.
Binafsi ningependa sn kuwaona bado mnashiriki UCL maana rafiki yangu
utafiti ntakua siomuoni ktk vibanda umiza kuangalia mpira km mtatolewa mapema.