Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh balaa, intense!

Haya wenzetu wa kulalamika waje tena, wale wa WENGER OUT!
 
Ahsante sana Mkuu, nilijua ulikuwepo ila woga ulikuzidi ukaamua kuchungulia ukiwa mbali.

Hongereni aisee...leo mmetuweza..kila la kheri kwenye kutetea ubingwa wenu..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ahsante sana everlenk pole sana... Usiku mwema na njozi njema sijui leo utamuota nani!? Rooney au Welbeck? Lol!!!!! Hahahahahaha Rooooooneyyyyyyyyyyy

Refa wa leo ndo ntamuota anaitwa nani vile!!! 😡, halafu ukicheka sana napingulua urafiki na wewe.....lol
 
Last edited by a moderator:
Well done Gunners!!!! what a performance!!!! You made us all proud today WOW!
Wenger amewapatia harufu kidogo.
Mpira haukuwa mzuri...nothing of flowing football..no pace..dives and silly fouls.

Arsenal ni timu ya ajabu. Di Maria alitolewa uwanjani lakini Arsenal hawakuonekana wanataka ku-kill the game. Hakuna mchezaji anaweza kuvurumisha kombora, wanataka kufunga mabao ya slow motion.

Kwa kweli bahati ilikuwa upande wenu leo kwa kutolewa Di Maria. Isingekuwa hivyo, hii mechi ingeishia kwa sare au Arsenal kufungwa.

Wenger out or in?
 
Finally, huh. Jamani sikuweza kuangalia mechi ya leo. Vijana walichezaje? Great win by the way. Na Poa kwa Welbeck ku stick one over LVG.
cc BAK, Wacha1, Nzi, DonDonald, Belo, RRONDO, Mbu, Pazi
 

First win at Old Trafford since 2006.

11066617_1003016616393158_350406227409295262_n.jpg
 
Mechi ya leo tulistahili kushinda hata zaid ya goli 3 endapo tu wachezaji wangejiamini hasa baada ya kutoka di maria na Rojo.
 
Hongereni aisee...leo mmetuweza..kila la kheri kwenye kutetea ubingwa wenu..

......asante, na ufute na mapeema ile kauli yako kuh game ijayo na Monaco kabla hayajakusibu!

:coffee:
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom