Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manda hebu leta maoni please........
Sijui wat's happened, unajua nilikuwa naandika maoni na nika-send when i was on the ride, asa sijui yame-sepa wapi, manake ata thread sijaiona.
Anyways this is what i wrote.

Arsenal lack of maturity ina wa-cost kwa mara nyingine, it doesnt make sense game ya pili mfululizo mnafungwa mabao kwa the same mistakes za mechi iliyopita.
Sikuona logic la Le Prof. kumwanzisha Theo as long as game ilikuwa phyique kiasi hicho, y nasema hvo?, muulize kwanini SAF kwanini Park huwa anaanza big games zote, Giggs/Nani anasugua?
Arshavin aliwambia mna game NNE, za kupruv s'thing, ya tatu hii mnaondoka na pointi moja. Sijui itakuaje as much as ninyi ni mabingwa wa kupoteza morali mkifungwa mfululizo na ule mda wakupoteana si ndio huu wajomba?😛😕😕🙄
 
On the title race...
"I feel that we are not in the best position but we will not give up. We were a bit unfortunate as well in the same period to play Manchester United, Chelsea and Liverpool on the trot. If you lose one game if is very difficult with the psychological implications for the next game. I believe that is a little bit of a disadvantage.".....AW
 
Mechi zimebakia 13 kwa hiyo bado ninaamini kuwa bado tuko kwenye title race.J'tano tunamaliza kibarua kigumu sasa mechi zifuatazo ndo za kufungia kazi.Nina uhakika kuwa bado uwezekano wa kuchukua hili kombe tunao.
 
chamakh aliyetaka kulazimisha hapa january si alikuwa available summer sema akaweka pozi kwenye dau? huntelaar angeweza kumleta onloan sema hakuwa na nia hio. tatizo alipigia hesabu sana kurudi kwa ben na akapuuzia wakati kuna vitu kama injury mkuu.

ligi ni ngumu mno na unahitaji kuwa kamili kila namba ,huwezi kutemegea wachezaji wanaopata injury kila saa.

inaonesha wengi wetu tumelizika kumaliza top 4 kila msimu kwahio powa tu tuendelee kushangilia kumaliza top 4 ikifika may.
Pole sana mkuu!
 
Mechi zimebakia 13 kwa hiyo bado ninaamini kuwa bado tuko kwenye title race.J'tano tunamaliza kibarua kigumu sasa mechi zifuatazo ndo za kufungia kazi.Nina uhakika kuwa bado uwezekano wa kuchukua hili kombe tunao.

Keep dreaming, Bolini.
 
Yaani hata muislamu aliyefunga hawi legelege kama hv vitoto vya Wenger...

WENGER MUST GO...
 
Ikumbukwe kuwa J'tano tutakuwa nyumbani tukiwakaribisha Liverpool,Manu watakuwa ugenini kwa Aston villa na Chelsea watakuwa ugenini kwa everton baada ya hapo tena Manu watakuwa ugenini kwa Everton sisi tutakuwa nyumbani na Sunderland chelsea watakuwa ugenini na Wolverhampon.Ndugu zanguni tusikate tamaa bado mapema sana.
 
Sheikh achana na imani za Bahai au zile za Dalai Lama...
Hiyo kesi kwishne.
Msihesabu kitu msimu huu.
David Dein alijiunga arsenal 1983.
Daktari wa klabu Garry Lewin pia ni 1983.
Vieira, henry, pires, ljungberg, lauren, cole, toure, hleb, gilberto, flamini na wengine weeengi wamekimbia arsenal kwa kushindwana na falsafa za huyo mr Bean...
Arshavin na cesc nao wameshafungua midomo kumwambia yale waliyotangulia kuyasema kina Dein.

Sasa we kalaga bao.
Subiri vidonda vya tumbo na presha.
 
Mzee hukunijibukwanibi washabiki wafat arse huwa hawana akili wankers na wajinga all da Tyme ?
Inaanzia kwa kocha wao, Mr. Wenger, ni ugonjwa wa kuambukiza ndani ya kambi ya Emirates, unategemea nini kama Bwabwa1 ndio anaonekana Genius!
 
kwa mpira huu wa kusubiri kupiga chenga mpaka kipa, itawa kosti arsenal mechi nyingi, Asharvin alisema bila forward hakuna kitu, nilitowa list mwanzoni watu wakaona mdebwedo, Glich hawezi kucheza kwa nguvu, Cambell angeliweza kucheza kwa nguvu na kukaba, Arsenal formation yao hakuna kukaba kwani ukikaba unapunguza nafasi, jee kwa timu kama Chelsea itakuwa vipi?

Kwa mpira huu hata Leverpool wana mabao yao yapo tayari, wala Arsenal wasijip[e matumaini ikiwa hawakubadilika,
 
Navyoipenda JF, timu yako ikifungwa kuna watakayoisema yaani unatamani kuwaona live ili umwambie bana imetosha, wakati huohuo wenzako (funs) wa timu moja mtafarijiana.......kama leo, Arsena tumefungwa, nikiona post ya Masanilo au Peasant najuwa hapo kazi ipo......nikiona post ya Wacha1, AW, BAK, n.k naanza kutabasamu maana nikizisoma nikufalijiana tu......
all in all napenda sana ushabiki uliopo humu ndani, JF. Ukishinda tamba ukishindwa tambiwa.........Big up Peasant, Masanilo, Wacha1, AW, Kweli, Mbu, Baba Mkubwa, BAK, n.k......Arsenal 3 Liverpool 1 means Arsenal LAZIMA tufuifunge liverpool
 
kwa mpira huu wa kusubiri kupiga chenga mpaka kipa, itawa kosti arsenal mechi nyingi, Asharvin alisema bila forward hakuna kitu, nilitowa list mwanzoni watu wakaona mdebwedo, Glich hawezi kucheza kwa nguvu, Cambell angeliweza kucheza kwa nguvu na kukaba, Arsenal formation yao hakuna kukaba kwani ukikaba unapunguza nafasi, jee kwa timu kama Chelsea itakuwa vipi?

Kwa mpira huu hata Leverpool wana mabao yao yapo tayari, wala Arsenal wasijip[e matumaini ikiwa hawakubadilika,

Ga ys huwa hawana nguvu za kukaba wewe!
 
Duh watani poleni.

Acha tu bana,

...inauma na kuongeza stress wakati maisha yenyewe yanazidi ugumu. Anyway...kuna ushabiki mwingine unakuwa kama maradhi ya kujitakia, hata haistahili kupewa pole sasa...

Eti kuna wengine bado tu wana mategemeo, 'it is all over guys!'
We only have to fight for the fourth spot... hata mkibisha!

...mnh! 🙁
 
didierdrogbagoal2_350x197.jpg

didierdrogbascoresfirstvafc20100207_412x232.jpg

johnterrybanner_500x281.jpg

johnterrythrowsshirt_275x155.jpg

come on Arse!
 
Men against boys!
Chelsea-v-Arsenal-Michael-Ballack-Cesc-Fabreg_2416868.jpg

Michael Ballack and Cesc Fabregas battled for the ball early on...

Chelsea-v-Arsenal-Didier-Drogba-goal_2416869.jpg

...before Didier Drogba fired Chelsea into an early lead.

Chelsea-v-Arsenal-Didier-Drogba-celeb_2416870.jpg

Drogba celebrates after opening the scoring...

Chelsea-v-Arsenal-Didier-Drogba-celeb-first_2416898.jpg

...before showing his commitment to the Chelsea fans.

Chelsea-v-Arsenal-Didier-Drogba-second-goal_2416900.jpg

Drogba drills home to double Chelsea's lead at the Bridge.

Chelsea-v-Arsenal-Didier-Drogba-celeb-second_2416901.jpg
 
Back
Top Bottom