Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mods naomba mtoe picha hizi.sheria ya picha zinawekwa kwenye timu ilio shinda siotimu iliofungwa.lol
 
Acha tu bana,

...inauma na kuongeza stress wakati maisha yenyewe yanazidi ugumu. Anyway...kuna ushabiki mwingine unakuwa kama maradhi ya kujitakia, hata haistahili kupewa pole sasa...

Eti kuna wengine bado tu wana mategemeo, 'it is all over guys!'
We only have to fight for the fourth spot... hata mkibisha!

...mnh! 🙁
vuta pumzi mkuu bado mapema sana.
 
Nyie banaa, wewe kila siku mtu uyo uyo anawafunga banaa?, its like Drogba 2, Arsenal 0, next time mnampga pini mwanzo mwisho.
 
Duh Mwaka huu tumefulia tena. Amka Wenger dirty game is the order of the day.
 
Poleni wadau wenzangu hapa.......! nakubaliana na Mbu, the game is over on our side! Kila la kheri Chelsea vs Man u for EPL championship!
 
Jamani nimechoka kutoa pole kwenye hili jukwaa kila wiki
 
Nani alisema Balatanda ni mdogo wake na Sheikh Yahya Hussein?

jt595apshirt.jpg

Fat Arse are lightweight pretenders

Poleni sana labda mtachukua Champions league teh teh teh teh teh......Natangulizan pole za Jumatano!
 
Kilichobaki sasa muanze kupigania nafasi ya 4 dhidi ya Spurs,Man City na Aston Villa
 
Acha tu bana,

...inauma na kuongeza stress wakati maisha yenyewe yanazidi ugumu. Anyway...kuna ushabiki mwingine unakuwa kama maradhi ya kujitakia, hata haistahili kupewa pole sasa...

Eti kuna wengine bado tu wana mategemeo, 'it is all over guys!'
We only have to fight for the fourth spot... hata mkibisha!

...mnh! 🙁

Poleni wadau wenzangu hapa.......! nakubaliana na Mbu, the game is over on our side! Kila la kheri Chelsea vs Man u for EPL championship!

Msikate tamaa, subirini vipimo...........

Mpira mnaupenda ila kushinda vikombe hamwezi,
Vipimo vinaonyesha kweli mmeathirika,
Fanyeni ibada na kumrudia Muumba wenu,
Kula vizuri, fanya mazoezi, zingatia dawa, pumzisha mwili wako,
Mkizingatia hayo mtaishi kwa matumaini,
By the way, mnayo nafasi ebu jaribuni....!
 
Nimeiona hii

Back to transfers, Bordeaux striker Marouane Chamakh has named Arsenal as his preferred destination for the summer - except Liverpool are offering significantly more money.
"My choice is to join a Premier League club. If I had a choice, I would go to Arsenal," the Morocco international said. "Bordeaux gave me a lot. I will soon clarify things so the club can prepare my replacement
 
wenger kajibu nini?

"In life you should achieve your dreams, above all you should try for them," a smiling Wenger told Canal+.
"We do like him a lot, but the day we sign him - we will let you know.
 
vuta pumzi mkuu bado mapema sana.

...you are right,

tatizo hii 'bad patch' itaisha lini na league inaelekea ukingoni?
Ni bora kuathirika nazo kabla ya New year, sio mwezi February!
Liverpool wesha recorver toka kwenye 'Nighmares' zao, hao wanawasha indicator sasa...

Labda tuwaombee Chelsea nao wapatwe na haya maruwe ruwe pia, maana Manure walishaathirika pia huko awali....

Champions League hiyo inakuja..!
 
Msikate tamaa, subirini vipimo...........

Mpira mnaupenda ila kushinda vikombe hamwezi,
Vipimo vinaonyesha kweli mmeathirika,
Fanyeni ibada na kumrudia Muumba wenu,
Kula vizuri, fanya mazoezi, zingatia dawa, pumzisha mwili wako,
Mkizingatia hayo mtaishi kwa matumaini,
By the way, mnayo nafasi ebu jaribuni....!

Hahaaaaaaaaa

Chelsea jana walipata nafasi 2 nzuri wakazitumia ipasavyo,sisi tulipata nafasi nyingi tu nzuri lakini strikers ndo hivyo tena wakawa hawataki kufunga mpaka wampige chenga Cech

Kuhusu gap lisikutishe sana pointi 9 si nyingi kihivyo(hasa kwetu sisi ambao tutakuwa tushamalizana na Manure,Chelsik na Liverpool),kama unakumbuka last tyme kulikuwa na gap la zaidi ya point 12 lakini tuliwakuta na tukakaa kileleni kwa masaa kadhaa(kama siyo siku kadhaa),anything ios possible in kandaanda bana(hasa katika EPL)....Football is a game of chance

So far ninyi mmebakiwa na mechi na timu kama Man Utd,Liverpool,Everton,Man City,Aston Villa(sina uhakika) na Tottenham...Ni mechi ngumu sana kwenu hizi
 
...So far ninyi mmebakiwa na mechi na timu kama Man Utd, Liverpool, Everton, Man City, Aston Villa(sina uhakika) na Tottenham...Ni mechi ngumu sana kwenu hizi

...Really?

doooh, kumbe bado 'wanalo' hawa... 😀
League ndio kwanza inaanza sasa,...Lala salama hii.
Honestly speaking, atayeshinda EPL mwaka huu anastahili...#1

Let the winner take it all!
 
Thanks to Fat Arse and AW

we have clipped 6 pts and 5 goals
 
Back
Top Bottom