Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hivi tatizo la aseno ni kocha au mr bean? mbona wanacheza kama vile friendly match au wame-bet?
 
Game ya leo ushindi ni muhimu sana ili kujiwekea mazingira mazuri ya kucheza robo fainali.
kila la kheri kwa Gunners.
#COYG .
 
Game ya leo ushindi ni muhimu sana ili kujiwekea mazingira mazuri ya kucheza robo fainali.
kila la kheri kwa Gunners.
#COYG .

mkuu, tatizo sio ushindi kwa aseno...bali tatizo ni kwamba huo USHINDI UTAPATIKANAJE?
 
Watani kazaneni jaman nyie ndo wawakilishi wetu wa ukweli,LOL
CC: BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii timu ni majanga!!...yaani tumeshambuliaweeee then end of the time tumejifunga wenyewe? Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom