Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

rubaman ndugu yangu kwema hapa?

Bado hamjapiga bunduki kwa miaka 10 sasa hadi zina kutu sasa kaka!Heri tu muendelee kurusha mishale yenu ya FA ehehehehe!

Lkn CL mpo vyema sana na mtafika mbali
 
Last edited by a moderator:
Tusubiri tuone Mkuu, De Gea kipa mzuri sana lakini naye pia anafungika.

Mwaka huu mpo vizuri sana na ndiyo mechi pekee ambayo sisi MAJOGOO tunaihofia!Hawa akina RRONDO safari hii De Gea hawezi kuwaokoa tena!

CL ndiyo team pekee itakayobaki baada ya best 8(fact)
 
rubaman ndugu yangu kwema hapa?

Bado hamjapiga bunduki kwa miaka 10 sasa hadi zina kutu sasa kaka!Heri tu muendelee kurusha mishale yenu ya FA ehehehehe!

Lkn CL mpo vyema sana na mtafika mbali

Poa mkuu. Anyway, hatupo tofauti sana na nyie mnaosindikizana vilioni miaka nenda rudi afu bado mnapeana moyo wa kuvunja mwiko kila mwaka
 
Poa mkuu. Anyway, hatupo tofauti sana na nyie mnaosindikizana vilioni miaka nenda rudi afu bado mnapeana moyo wa kuvunja mwiko kila mwaka

2005 tulichukua CL lkn nyie mtutu wenu haujawahi piga bunduki toka INVISIBLE mwanangu akiwa hajazaliwa na leo yupo std 6

Mwaka huu mpo vyema lkn
 
Naona hata Liverpool sasa wana wadharau (Kwa mujibu wa Malafyale ) lol

Liverpool wakibeba EPL ndo watakuwa na rights za kutudharau. Ushindi wa kindondokela vs vikongwe vya Milan miaka 10 iliyopita sio wa kujivunia.

2005 tulichukua CL lkn nyie mtutu wenu haujawahi piga bunduki toka INVISIBLE mwanangu akiwa hajazaliwa na leo yupo std 6

Mwaka huu mpo vyema lkn

Mkuu Liverpool ni bora mnyamaze msitucheke sisi. Arsenal tuna chance kubwa ya kubeba Quadruple kabla yenu. Everton,Spurs, Newcastle ndo size yenu.
 
DonDonald. Muda si mrefu na nyie mtaungana na Liverpool katika kuzisikia nafasi za UCL, maana hadi sasa mmeshawafikia katika kutumia pesa nyingi kununulia magarasa.
Cc Malafyale
 
Kula kwingine wanazidi kujutia walivyoingizwa mjini kimacho macho
 
Tunatakiwa kumiliki mpira katikati, jamaa inaelekea wana possessions kubwa hadi sasa kuliko sisi.
 
Naona wachezaji wanatereza tereza sana. Vipi uwanja umewekwa udongo uterezi nini? COYG!!!!
 
Hii formation ya mwishoni mwishoni naomba isitulize. Kos, Per na Paulista nyuma tunajaza watu katikati tuwazuie Palace.
In the other news Chelsea 1-1 Burnely, Swansea 2-1 Man United. Dakika za mwishoni katika kila mechi. Naomba mechi ziishe hivi
 
Back
Top Bottom