Tukishinda tunakuwa wa tatu
Tumeshindwa kuzuia goli dakika moja ya mwisho, sio mbaya tumeondoka na 3 points
Tumeshindwa kuzuia goli dakika moja ya mwisho, sio mbaya tumeondoka na 3 points
Hata mie nimechukia hilo goli, maana magoli kuazi sasa ni muhimu, inawezekana kabisatofati y timmoja n nynginekawa ni magoli tu kaa ulivyoona nafasi za juu kuna mbanano bao unaweza kuwa unaadilika kila wiki, lakini si haba ukitilia maana Chelsea wametoa draw, MANU kapigwa na MAN C akipigwa au akitoa draw siku ya leo itakuwa bomba sana.
Away from home tunacheza hovyo siku hizi. Anyway tunaweza kusingizia akili yote ilikuwa vs Monaco wiki ijayo. Hata hivyo 3points ni 3points kizuri zaidi Chelsea na Man United wamepoteza points 5 between them. Next stop ni vs Monaco
Yes ila Wenger aangalie tena mstari wa mabeki wetu
Nachoona mimi kama hatuna balance nzuri katikati. Tuna relay kwa Coq, Cazorla, Sanchez afu hatuna watu wa kuwareplace wanapozidiwa. Arteta, Ox wangekuwa fit wangekuwa big addition muda huu. Arteta atarudi lini?
Cc Wacha1, BAK, utafiti,Mbu
Tupeni update wadau
Arsenal hatuna anayetupenda aisee. Kila tunapocheza vibaya na kushinda watu lazima m-highlights uchezaji mbovu badala ya ushindi. Man United, Chelsea, City mnawashangilia kwa ku-win ugly wakati wamecheza hovyo. Mnawapa bonus kwa kucheza vibaya na kushinda wakati huo huo. Double standard, I say.
RRONDO na DonDonald hawataonekana leo. Wenzao kina Nzi, Belo, Mfarisayo wameingia kutoa soo tu. Kesho nataka South watoe Draw Man Utd wawe wa 4. Anyway, mkijitahidi mnaweza kuwaondoa Man United ndani ya top 4. Sisi tunafukuza top 3 finish msimu huu na tunaweza kumaliza hata top 2 kama City wataendelea kudemadema.