Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Draw ni kesho mpwa duh hapo ndio kila timu inakamia kombe sasa,ila hii timu yetu siku hizi 2nd half tunapwaya sana mpaka inakera.

Leo timu haikupwaya, tulimiliki mechi nzima, Middlesbrough hawakuwa wazuri kama ilivyotarajiwa.Mechi 2 ( Spurs and Leicester ) tulipwaya ndo tulipwaya lakini sio leo.
 
10968490_10152871687832713_2988943210572711971_n.jpg
 
Giroud anazidi kuwaudhi wale wote wanaotaka auzwe. Hadi hivi sasa ameshafunga magoli mengi zaidi ya wanaolipwa £100,000+kwa week each
 
Next EPL Crystal Palace away ..... ...... ...... ... Jumamosi 15:00 GMT
 
  • Thanks
Reactions: BAK
QF tutacheza dhidi ya mighty Preston. hahahaha
Cc DonaldDon, Nzi, Belo
 
Watch out goons...naona mmeanza kuomboleza kabisa...jitayarisheni kwa matanga hapo tarehe 7 ya mwezi ujao...
 
Back
Top Bottom