Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

10983420_10152861839412713_9218518347588340719_n.jpg
 
Mambo ya Wacha1 haya.... Gay everywhere ...

naona mmeanzisha na umoja wenu kabisaaa..
gun__1382703848_Unknown.jpeg
 
Last edited by a moderator:
Wacha1 na mambo yake....anajichekesha chekesha kumbe huwa anaisikilizia ...

Banner-CREDIT-BPI-Kieran-McManus.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana, ila hizi game za kushinda kwa goli moja zinakuweka roho juu. tukibadili timu mstari wa mashambulizi 6 acheze Rosicky, 7 Wallcott, 8 Carzola, 9 Sanchez, 10 Welbeck na 11 Oxlade Chamberlain basi tutakuwa tunaziona nyavu za wapinzani mara nyingi sana na hivyo kujihakikishia ushindi karibu kila mechi tutakayocheza.

Hongereni sana watani naona mmetimiza ndoto ya nafasi ya nne ila mnadumu nayo kwa masaa,lol
Cc BAK utafiti adolay
 
Wacha fujo wewe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi mmeshinda leo au basi ndio spana mkononi?

khe khe khe kheeeeeeeeee sitaki hata kuiweka EPL Table hapa maana unayajua matokeo vizur sana,nisingeshinda yaani ungelikuwa ushakuja mitaa yetu kutembeza mbofu mbofu,si ya nne tena bali malizia mwenyewe........
 
Mhhhhhh! Khe khe khe kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeee huyu ndiye anayenitakia mema na Gunners wangu lol! haya bana, Hongera sana kwa ushindi wa bora liende. Kusema kweli namiss kuuona ule mpira niliozoea kuona enzi za SAF, huu wa sasa ni bora liende tu hakuna hata pattern inayoleweka.

Katika hilo sikatai kweli ni bora liende ila hivyo hivyo palipo na ugumu ndipo neema huwa iko karibu kuja,Van Gaal anawachanganya sana vijana na mfumo wake usioeleweka,hiyo anayoiita philosophy kweli ni tata,kila mmoja akicheza position inayotakiwa tungeona ule utamu wa MANU enzi za SAF,kujenga ni kazi sana kuliko kubomoa
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Chifu, mbona 'winning ugly' ilikuwa ni philosophy ya SAF? Chini ya SAF, United ilishinda mechi nyingi sana kwa kucheza vibaya, na journos kama kawaida walilalamika na kumponda SAF.

Leo wanaongea tena yale yale. Ni sawa na waliomponda LvG kwa long balls! Hata na Scholes? Wakati Scholes alitamba kwa long ball passes!! Maajabu kabisa. Beckham alitamba pia kwa long ball passes. Sasa ni kipi cha ajabu LvG alifanya?!?

Yaani #UkaangaSumu mbaya sana.

Kinachotokea sasa United siyo kipya sana, sema tu kwa kuwa SAF ameshaondoka, watu wamesahau na kuanza kumponda LvG. Pamoja na makosa yake ya kupanga timu, bado naamini LvG ni mtu sahihi wa kuiweka United stable.

Siyo jambo rahisi kumrithi mtu aliyekaa na timu miaka 26, na kuanza kupata mafanikio immediately.

Naingojea siku Wenger atakapoondoka Goons...Ee Mungu nipe uzima, Amina.
 
Since when Man U wamecheza beautiful game?tuache ushabiki nje hamjawahi....ila mmewahi kushabikia Gooners japo kwa shingo upande....coz we were playing the game the right way!
 
Hapo kwenye rangi labda ni zile mechi za kubebwa na kupewa matuta, lakini sikupenda kabisa kukosa mechi za MANU maana mechi zao nyingi walikuwa wakicheza mpira wa uhakika, "easy to the eye" hata mpenzi wa kandanda unafurahia kuona quality ya uchezaji wao hata kama huwashabikii.

Kulikuwa na mechi ambazo pia kulikuwa na bora liende lakini nyingi zilikuwa ni zile ambazo unaona kandanda likitandazwa kwa uhakika na kama mpenzi wa soka hutaki kukosa hata sekunde moja.

Nzi
 
Last edited by a moderator:
Aisee wewe unalijua soka napenda sana uchambuzi wako kuhusu timu yenu chini ya huyu Mholanzi. Ukitaka kuangalia soka la uhakika usikose mechi zetu 🙂🙂 unaangalia kwa raha zako.

Back
Top Bottom