Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal's players are not built kupanga basi...you got lucky with manshity...

poleni waungwana
 
10984282_10152854783892713_964757184389334615_n.jpg
 
Hot and Cold, mpira dk 90+, tumepewa knuckles 2 poa, ila nasi tuliwapa moja ya pua, tena kwao! Next game....?

Ndio mpira, COYG...
 
nilitarajia haya matokeo kutokana na upangaji mbovu wa kikoc uliofanywa na huyu mzee wetu wenger,arsenal tulikuwa na tatizo ka defensive midf & world classic straiker mpaka dirisha linafungwa hajasajiliw kiungo mkabaji sidhan kwamb hata big 4 tutaingia kwa hiki kikoc kibovu kabisa, ni muda wa wenger kuachia ngazi.
 
Hii timu siku wakifungwa babu mbaya wakishinda ohhh sasa mtatutambua du ...
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nilitarajia haya matokeo kutokana na upangaji mbovu wa kikoc uliofanywa na huyu mzee wetu wenger,arsenal tulikuwa na tatizo ka defensive midf & world classic straiker mpaka dirisha linafungwa hajasajiliw kiungo mkabaji sidhan kwamb hata big 4 tutaingia kwa hiki kikoc kibovu kabisa, ni muda wa wenger kuachia ngazi.

Kwani ilikuwaje jamani wengine hatujaona mechi hii
 
nilitarajia haya matokeo kutokana na upangaji mbovu wa kikoc uliofanywa na huyu mzee wetu wenger,arsenal tulikuwa na tatizo ka defensive midf & world classic straiker mpaka dirisha linafungwa hajasajiliw kiungo mkabaji sidhan kwamb hata big 4 tutaingia kwa hiki kikoc kibovu kabisa, ni muda wa wenger kuachia ngazi.

Ulitarajia matokeo haya mechi vs Villa pia au sio? Niambie unatarajia matokeo gani mechi ijayo vs Leicester? Watu kama wewe hamfurahishwi na lolote unless Arsenal wanunue hao the so called wachezaji mnaoaminishwa ndio wanahitajika. Spurs wameshinda bila ya kuwa na hao the so called players,bado hatusikii mkitoa analysis zenu za juu ya vistuli virefu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Sokoine ww na wenzako ni wataalam wa kuangalia soka kwenye TV...Wenger ana sababu gani kumfitini mchezaji aliyemsajili mwenyewe kwa hela nyingi? Inakujia akilini kweli. .??Spurs tutamchapa hata akicheza babu yangu upande wa mama! Mark my words!

I marked your words sir!
 
Ndio sababu SAF alikuwa juu zaidi kwa matokeo mazuri ukilinganisha na Babu, mara nyingi hakukawia kufanya mabadiliko pale alipoona timu yake imezidiwa na hivyo kufanya mabadiliko ili kuubadili mchezo. Una wachezaji wazuri kwenye banch ambao wana uwezo mkubwa wa kufanya mabadiliko ya mchezo kwanini usubiri zikiwa zimebaki dakika chache ndio ufanye mabadiliko? Halafu akiambiwa anajifanya mjuaji sana.
Babu yenu alitamani kufungwa leo.
Baada ya kupata bao moja alirudisha timu yote nyuma. Tot wanacheza uwanja wa nyumbani alitarajia nini?
Inaonekana alidhamiria kulinda bao moja ,kosa lililowagharimu. Baada ya bao kurudishwa, babu alifikiri ataambulia droo.

Wachezaji anawaweka benchi ili aje "awajambishie" wapenzi wa Arsenal Emirates stadium.

Babu yenu anazeeka vibaya.
Lakini Tot walijua kukaba leo. Hawakuwapa Arsenal nafasi ya kufanya tik tak yao. Pale kati mchezo ulikuwa compact. Tot wangeweza kufunga mabao mengi kama Rose angetumia mianya aliyoipata.

Rose alikuwa anajiweka katika nafasi ya kuikimbia compactness na mabeki wa babu walishindwa kumwona katika radar. Rose alishindwa kutumia nafasi nyingi za kufunga alizozipata.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli kabisa Mkuu maamuzi yake mengi yanaigharimu timu. Unapocheza mechi kwa kutegemea utashinda kwa kagoli kamoja au kutoa draw basi game inaweza kugeuka na yote uliyotarajia yakawa kinyume matokeo yake ukakosa kuambulia hata point moja.

Back
Top Bottom