Kwanini mkuu?
Mtanipa matokeo, nakwenda kulala. Hii ni moja ya mechi ngumu katika kila msimu
Dah! 2-1 sijui kwanini Babu alisubiri kumuingiza Walcott zikiwa zimebaki dakika chache badala ya kumuingiza baada ya half time, maamuzi yake mara nyingi ni very questionable.

Mechi za jioni ndomana sizipendagi, hawa FA wasiwe wanaipangia Arsenal mida mibaya hii aaaaaah