Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanaotafuta jinsia wapo kwenye jukwaa la mapenzi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Serious nisaidie jinsia yako mkuu nisije nikaja PM unakaona kama nimeamua kukuvunjia heshima wakati namaanisha, kaka BAK si uliona uzi wangu pale Love connect
 
Last edited by a moderator:
Wenger - We gave cheap goals away

Prof kachema hapo juu
mburukenge wanawanga hovyo. Mpira wa jana Spuds waliukamia wakaanza na vikwazo kwanza kuwachelewesha wachezaji kwa dakika 30 na makuwadi wao polisi kukataa kuwasindikiza wachezaji.

Kutokana na game ilivyochezwa
Spuds wameshinda kwa sababu kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, nashanga Team mburukenge ati nao wanaonyesha sura. Ukweli bila Gunners isingekuwepo EPL hii mnayoiona wote wanakiri prof revolutionised the game chacha unafikiri hivi vimburukenge vya JF ambavyo hata kuona soka live vingine haviwezi kazi kukaa JF na ushabiki bandia. Gunners tunatisha tena sana tu, asiye na mwana aeleke jiwe,

Chichi chinawachubiri chacha Leicester pale Emirates kukata mzizi wa fitna J4 19:45 GMT kama una uwezo njoo Emirates khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee . Ukiona natua na ungo jitambulishe tulonge.
COYG

BTW Shedafa jitokeze bana Wacha-na na hawa Mburukenges ambao wanabadili majina kama vinyonga ..... ..

Nipo hewani, nakuona ila maneno makaliiiii!

Naahidi kuingia rasmi msimu ujao tukijaaliwa uhai, sasa hivi najenga timu kwanza. Si unaona watoto watupu!

Ila safari hii nimekupata, pole!
 
Wakuu Wacha1, Salamander na kalou basi yaishe this is just a game, it's time to move on. Tugange yajayo.

BAK hao Chelsick walichezea kichapo halafu wanajitia kuja kono mbele hawana lolote na Moureen ikifika May kibarua kinaota mbawa. Huyo Cowshed aka kalou kabadili majina chacha naye ati anakuja kona mbele what a loser. Gunners taifa kubwa watachema usiku watalala chichi ndio klabu pekee tunaotetea kombe ndani ya London wengine wote hawana kitu ukifungua makabati yao unakutana na mende. Phew! wakisikia Gunners wanaanza kuwewesekaweweseka tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Wewe jamaa ni zaidi ya aliyekuwa waziri wa habari wa Sadam Hussein, bwana Muhammad Saeed al-Sahhaf a.k.a Comical Ali au Baghdad Bob!
 
BAK hao Chelsick walichezea kichapo halafu wanajitia kuja kono mbele hawana lolote na Moureen ikifika May kibarua kinaota mbawa. Huyo Cowshed aka kalou kabadili majina chacha naye ati anakuja kona mbele what a loser. Gunners taifa kubwa watachema usiku watalala chichi ndio klabu pekee tunaotetea kombe ndani ya London wengine wote hawana kitu ukifungua makabati yao unakutana na mende. Phew! wakisikia Gunners wanaanza kuwewesekaweweseka tu.

Jinsia yako kabla sijaja PM?
 
Back
Top Bottom