LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
Uteja Wa chips??
Hahaha mkuu unajitoa ufaham sio eee
Uteja Wa chips??
Wenger ni mteja tu kwa Jose Mourinho.
Mshaanza kulinganisha eeeh, ngoja mtolewe kamasi saivi. Mnaanza kuwa na majeruhi kipindi hiki cha muhimu sana, mtaanza kuppteza mechi sana saivi.
Hahaaaaaa nimepita kuwatania tu majirani zangu....
Karibu sana kiongozi, sisi tunaanza ligi rasmi dhidi ya tottenham. Baada ya hapo utaiona arsenal...!
All the best mkuu......sisi tumeongeza striking force ili tutwae makombe...................
Mkuu,
Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy ameweka zuio kwa Adebayo asiende West Ham kwa sababu Adebayo amekataa kwenda QPR au Crystal Palace. Levy alitaka Adebayo aende kwenye timu hizo ambako Tottenham wangechangiana malipo ya paundi 100,000 ambazo Adebayo analipwa na Tottenham kwa wiki.
Adebayo kuona anaambiwa achague moja ya timu hizo akakataa na Levy akawaambia West Ham kama wanamtaka Ade basi wao wachukue jukumu la kumlipa pesa yote yaani paundi 100,000 kwa wiki wazo ambalo West Ham wamelikataa.
Unafahamu Tottenham wanawaangalia West Ham kwa jicho la husda hasa kwa kuzingatia kwamba wote wapo juu kwenye msimamo wa ligi hivyo West Ham kuonekana ni tishio kwa Tottenham. Ndio maana Tottenham wakaona Adebayo aende kwenye hizo timu za chini ambazo si tishio sana.
Haya mambo ya usajili wakati mwingine yanaleta mtafaruku sana ulojaa pilikapilika nyingi.
Hata hivyo Tottenham ndio watakaokula hasara kwa kuendelea kumlipa Adebayo hicho kiasi cha fedha hadi msimu wa ligi uishe, na mkataba wake baadae mwaka huu.
Hata sijui kwa nini mlimuuza Shurrle..ni mchezaji mzuri sana yule.
Wapenzi wa Klopp mnafuatilia mambo makubwa anayofanya na Borussia Dortmund hivi sasa? Jamaa ni Genius ameitoa B.Dortmund ilipokuwa miaka 3 iliyopita hadi ilipo sasa. Nani mwingine anayeweza kufanya maajabu kama haya?
BvB saivi wanashika mkia aisee, kweli soka ni mchezo usio na haya..!
Dah Sanchez hatoweza kucheza jumamosi. Kama kawaida yetu ameingia wodini kama kina Diaby, Wilshere ingawaje walisema ilikuwa minor injury. Anyway, kikosi kilichomwondoa Aston Villa kwa mkono kinaweza kumwondoa Spurs vile vile
Si nyinyi mlikuwa mnamliilia Klopp achukuwe usukani wa Arsenal miezi mitatu iliyopita?
Mkuu wala usiwe na wasiwasi kabisa.
Nafasi ya Sanchez tayari imezibwa na Mesut Ozil na ndie atakaeanza kucheza namba hiyo 10 akisaidiana na Theo Walcott pembeni kushoto.
Sasa hivi kuna wachezaji wengi wamerudi hivyo tatizo la kukuna kichwa kwamba ooh! hakuna cover halipo.
Piga goli Tottenham,
COYG!
sijawahi kuona kocha mpuuz kama wenger yani anamsingizia kuwa SANCHEZ ni majeruhi wakati SANCHEZ mwenyewe yupo fiti kucheza mzima wa afya lakini wenger anamsingizia ni majeruhi....nia yake nikuona michezaji yake walcot,giroud na welbeck wacheze.......kitendo hiki cha wenger kumsingizia sanchez ni majeruhi kimenikasirisha sana.......sanchez ni injini ya timu lakini wenger anamfanyia fitina sanchez.......yangu macho kesho na spurs kwa hao wachezaji wake anaowaamini tuone