Hii tushalala mkuu.
mech za 12:45 kwa uingereza tuna mkosi nazo kweli ndugu.
Prof Wenger
...lol!!!! ajiandae tu kumpisha Thierry msimu ujao.
Mechi za jioni ndomana sizipendagi, hawa FA wasiwe wanaipangia Arsenal mida mibaya hii aaaaaah
Ndio sababu SAF alikuwa juu zaidi kwa matokeo mazuri ukilinganisha na Babu, mara nyingi hakukawia kufanya mabadiliko pale alipoona timu yake imezidiwa na hivyo kufanya mabadiliko ili kuubadili mchezo. Una wachezaji wazuri kwenye banch ambao wana uwezo mkubwa wa kufanya mabadiliko ya mchezo kwanini usubiri zikiwa zimebaki dakika chache ndio ufanye mabadiliko? Halafu akiambiwa anajifanya mjuaji sana.
Mkuu kama unaratiba hapo kuna mechi yeyote ya jioni?? Na tutacheza na nani??
Babu maamuzi yake ni ya kustaajabisha, baada ya kuona mashambulizi makali kabla ya halftime, ilibidi aongeze nguvu mstari wa mashambulizi kwa kumungiza Walcott, wote tunajua Walcott anapokuwa uwanjani huongeza nguvu sana mstari wa mashambulizi na speed ya kushambulia huwa kubwa sana, lakini kama kawaida ya Babu hakufanya lolote na hivyo mashambulizi dhidi yetu yakaendelea mtindo mmoja na sasa yametugharimu labda katika mechi ambayo tulistahili kushinda tunaweza kuishia kupoteza points zote tatu. Aaaaaaarrrrrrggggggghhhhhh!
...lol!!!! ajiandae tu kumpisha Thierry msimu ujao.
T. Henry hawezi kuwa kocha. Mara nyingi legends hawawezi kuwa makocha wazuri.
T. Henry hawezi kuwa kocha. Mara nyingi legends hawawezi kuwa makocha wazuri.
Hopefully kipindi cha pili itageuka tena to our advantage. Naona kuna goli mbili zaidi.