Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FABREGAS WANTS OUT



Cesc Fabregas reportedly decided after Sunday's defeat to Manchester United that he will return to Barcelona this summer.

Spanish newspaper El Mundo Deportivo claim - under a story headlined 'Bye Bye Arsenal' - that Fabregas has told friends that six seasons at Arsenal is enough and he will push through a transfer this summer.



http://msn.football365.com/story/0,17033,8652_5912183,00.html?
 
Una maana gani hapo! Nadhani sports ni furaha na utani .........

Vipi kiswahili kinakupiga chenga?

Tunasikia hii story kila mwaka, vipi unaandikia Spanish papers siku hizi? Mnamaliza uchaguzi wa marais lini, bila kusema hivyo hamuuzi wagombea khe khe khe khe khe khe
 
Akishinda kikombe mwaka huu utasema nini? kumbukeni Arsenal anapigwa vita kila upande kuanzia kutoka FA et al. Hii ratiba ya kucheza na vilabu vyote vikubwa at the same time katika big 4 nani anayo? Nobody.
akishinda kombe hio ndio tunataka lakini haikuwa na haja kuchukua risk ya kuto sign striker wakati kombe liko so open.


kuhusu hizo ratiba nilileta kilio zamani sana humu lakini wakati hule hali alisi hatukuijua mpaka ilipofika wakati wenyewe.nilisema kama hizi schedule tukizimaliza tuko kileleni naenda kununua champagne yangu kabisa nasubiri may tu tupewe mwali.
 
1, Manone
2 Vermaelen
3 Sagna
4 Soel
5 Gallas
6 Song
7Walcot
8 Fabregas
9 Arshavin
10 dogo wa Spain( jina limetoka)
11 Nasri
 
...nasema hivi,
...pamoja na machungu yooote lakini Jumapili tunamfanya vibaya Chelsea. Tutashinda Jumapili pale pale Darajani!
Siongezi neno tena...

Jumapili hiyooo inakuja!
 
...Bro, nia ya kuwafunga tunayo, uwezo wa uwafunga tunao, na sababu za kuwafunga tunazo....


...CUM ON YOU GUNNERZ!
Nia ya kuwafunga mnayo, na sababu ni kuaidia Man U but na wasiwsi kama uwezo mnao
 
Una maana Man U tunabebebwa ,mna advantage sababu mkishamaliza hizo game mmebakiza mechi nyepesi
 
...nasema hivi,
...pamoja na machungu yooote lakini Jumapili tunamfanya vibaya Chelsea. Tutashinda Jumapili pale pale Darajani!
Siongezi neno tena...

Jumapili hiyooo inakuja!
kama hull city wameweza kumpa draw sijui kwanini sisi tushindwe kushinda lol. naona wenger atumie kismart cha kuzuia full backs kupanda mbele ovyo na kuruhusu kukamatwa kwenye counter attack.


mbona villa tuliweza kuwazuia msimuu kwenye counter attack zao? hiliwezekana kwa vile beki zetu hazikupanda ovyo ndio maana tukaweza kuzuia counter attack zao nyingi.lakini huu mchezo wa kujiachia kama against man united uta tu-cost tena.


chelsea game its a must win,sitowaelewa kabisa nikiwaona wanazunguka zunguka na mpira kutaka kutembea mpaka ndani ya nyavu.
 
Nasri defeat is forbidden



Fear ...Samir Nasri


 
vijana hawatakiwi kukata tamaa hata chembe. Mashabiki pia
 

Huyu mzee Wenger tumechoka na domo lake, mwanzoni mwa January alituhakikishia atanunua striker kuziba pengo la RVP, hela amepewa lakini eti ametuambia hakuna mchezaji kwaliti katika soko? Pauni millioni 30 unasema huoni mchezaji sokoni? AW wacha kutufanya watoto wadogo, ni wazi kwamba anajali maslahi ya mabosi wake zaidi kuliko wapenzi, sisi tunataka Trophy lakini yeye anafikiri ku-balance books.
Eti anamgeuza Arshavin kama striker katika Premier league? Kuna akina Terry, Cavarlho, Vidic, Ferdinand nk? Karibu central deffenders wote kwenye premier ni 6fts + sasa 5 fts Arshavin atacheza vipi? yeye ni Winga na sio Striker.
Inaudhi sana tabia ya Wenger kwa kweli😑:-?
 
Leo arsenal watapewa kipigo tu.....

 
Leo arsenal watapewa kipigo tu.....





...Really? aha ha ha haa!
Nope , Not today!!!!

Kwani maneno mengi ya nini?
Ngoja nanyi leo myaonje machungu ya kufungwa nyumbani!!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
...Really? aha ha ha haa!
Nope , Not today!!!!

Kwani maneno mengi ya nini?
Ngoja nanyi leo myaonje machungu ya kufungwa nyumbani!!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Waaambie bana Mbu
Arsenal kushinda game hii ni lazima,
 
...Really? aha ha ha haa!
Nope , Not today!!!!

Kwani maneno mengi ya nini?
Ngoja nanyi leo myaonje machungu ya kufungwa nyumbani!!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona mkuu leo hapo umekaa lkn msosi haupandi...
We endelea kupumulia mashine tu...
Mtabana sana vidole na mtabadili sana mikao....
Mwisho wa dkk 90 ni sisi 3 na nyie 1(tena kwa pen)
 
Naona mkuu leo hapo umekaa lkn msosi haupandi...
We endelea kupumulia mashine tu...
Mtabana sana vidole na mtabadili sana mikao....
Mwisho wa dkk 90 ni sisi 3 na nyie 1(tena kwa pen)

πŸ˜€ Goodluck!!! ..si unajua dkk 90 haziongopi?...
 
πŸ˜€ Goodluck!!! ..si unajua dkk 90 haziongopi?...
yaani hapa nimeshapata link za kuangalia online!!! nitakuwa nakuwekea tu matoke kila dkk 1 1...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…