rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Jiulize kwa nini hutushindi big match
Ulitaka aingizwe, nani kwa muonekano wako? It's just didn't work in our favor leo.
Jiulize kwa nini hutushindi big match
Typical know nothing fans.Formation doesn't win you a match brother. Ni combination ya uzuri wa timu yako na ubovu wa opponent wako katika siku ya mechi. Inatakiwa uangalie mechi vizuri bila kuwa na bias ndiyo utagundua haya mambo. Tatizo la JF watu wengi wana analysis mpira ki-bias kuliko inavyotakiwa.Anyway ndo tatizo letu Waafrika sometimes tuna upeo mdogo katika soka. Jaribuni kuangalia jinsi watangazaji NBC sports, Skysports wanavyo analysis mechi bila kujali timu wanazozishabikia acheni na pundits wa sijui ITV, TBC DSTV, CTN/DTV(hawa watu bado wapo hewani?).
Wakuu niwazi kuwa leo tumecheza vibaya sana, liverpool kwa kiasi kikubwa wamemiriki sana mpira na pia wamepata attempt za kutosha sisi tulipata chache tukafanikiwa kuongoza but cha kusikitisha ni kuwa jamaa walifanikiwa kusawazisha wakiwa watu kumi uwanjani siyo siri ilikuwa nl perfomance mbovu sana leo,
but all in all congratulation kwa liverpool.
Nishaona najibizana na mtu asiye na macho, masikio wala akili ndogo tu yakuchambua mambo sitakujibu tena chochote
Hizo ndio STATS za game nzima
Typical know nothing fans.Formation doesn't win you a match brother. Ni combination ya uzuri wa timu yako na ubovu wa opponent wako katika siku ya mechi. Inatakiwa uangalie mechi vizuri bila kuwa na bias ndiyo utagundua haya mambo. Tatizo la JF watu wengi wana analysis mpira ki-bias kuliko inavyotakiwa.Anyway ndo tatizo letu Waafrika sometimes tuna upeo mdogo katika soka. Jaribuni kuangalia jinsi watangazaji NBC sports, Skysports wanavyo analysis mechi bila kujali timu wanazozishabikia acheni na pundits wa sijui ITV, TBC DSTV, CTN/DTV(hawa watu bado wapo hewani?).
asante kwa elimu...pili sio kila anaeangalia mpira anaona through NBC/SKYSPORTS....anyway hata huku tanzania tunaangalia kupitia DSTV ambao wanaweka pundits wa skysports,jana alikuwepo Jerman Jenas kama guest ana akina Andy Townsend kama kawaida....ni hao hao pundits ambao humu humu kuna wenzenu wanapiga kelele hawaipendi arsenal nimependa short and clear analysis ya pierre Fm jana u were dominated and very lucky to get a draw thats a fact na si kwasababu ya refa au nini liverpool were just better kama walivyokuwa better kuzidi man utd lakini tofauti ikawa David De Gea,RVP,Rooney individual ability!! btw sasa naona kwa nini Arsene Wenger amemleta Giroud
Kuwa dominated ni kweli. Lakini wanaposema tumepata bahati ya kuondoka na draw naweza kupinga sababu wao ndio waliosawazisha dakika za nyongeza. Hivi wasingesawazisha mngesema tulipata bahati ya kuondoka na point 3 au kwa vile haikutokea? Au unataka kusema Man UTD walikuwa na bahati ya kuondoka na point 3 vs Arsenal sababu Arsenal walidominate mechi? Anyway, jana tulikuwa off our game hasa midfield.
mtu ukicheza na mara 15 ukashinda mara moja hawezi kubahatisha...hata akipanga mawe yatakufunga...khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe...ile draw ni matokeo mazuri kwetu man utd kwasababu na sisi tulidraw pia.
............hivi Top Four yetu tutaikamata kweli msimu huu?
Chelsea, Man City, Man United hawawezi drop points nyingi compared to us,
wakati huo huo "chasing pack" iliyokuwa na Everton na Spurs pekee msimu ule,
safari hii kuna West Ham na Southampton pia.
:coffee:
Cc; BAK, Richard, Balantanda, Sizinga, Wandugu Masanja, Wacha1, piere.fm, rubaman....et al
Mkuu hii timu yetu tunaipenda sana basi tu inatuangusha!nimegundua una mapenzi makubwa sana na hii timu!Mie naamini tutaikamata na pia tunaweza kuwa juu zaidi. Naamini hivi kwa sababu majeruhi wetu wote watakuwa available kuanzia January 2015, hivyo kama tutaweza kuhakikisha tunashinda mechi 15 kati ya 19 za ngwe ya pili ya msimu huu basi tutajiweka katika nafasi nzuri sana ya kuwemo kwenye top 4 or even higher than 4th position.
#InGunnersWeTrust
Mkuu hii timu yetu tunaipenda sana basi tu inatuangusha!nimegundua una mapenzi makubwa sana na hii timu!