Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Hovyooo . Misinformation. Jamaa alizipata hizo tats kusheherekea ushindi wa UCL na World Cup mwezi wa May, 2014.
World cup gani ya May 2014?!?

Kiswahili kigumu sio?Ngoja nikutafunie ili uende. Mnapo May 2014 baada ya kushinda UCL jamaa aliamua kuchora tats hizo mbili,moja ktk mguu kusheherekea makombe mawili (UCL & World Cup) aliyoshiriki kuyabeba kwa Spain na Real Madrid
Red card Giroud,too childish siamini Giroud anafanya kitu kama hiki.

Leo hajafanya kitu chochote cha maana bora tucheze pungufu
Kiswahili kigumu sio?Ngoja nikutafunie ili uende. Mnapo May 2014 baada ya kushinda UCL jamaa aliamua kuchora tats hizo mbili,moja ktk mguu kusheherekea makombe mawili (UCL & World Cup) aliyoshiriki kuyabeba kwa Spain na Real Madrid
Kuna mjamaa alisema Sanchez ni mzuri akicheza na team ndogo ndogo lakini arsenal ikikutana na team kubwa Sanchez haonekani kwa ubora ule kwenye team ndogo
At least naweza kunywa tikila na chumvi sasa