Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tutasingizia refa kila siku.Goli kurudishwa huku madifenda wetu wanakwepa mpira inauuma sana.Kama kuna wa kulaumu ni walinzi wetu wazembe.

Bora umeongea ukweli defensive ni tatizo kubwa, ila hata kwa draw tu hongereni mlikuwa na nafasi kubwa ya kuchukua point 3.
BAK Si mbaya sana ila jana nilikwambia ukaguna umeona sasa ubonde wenu...hongereni lakin hata kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
We miss Rambo, Ozil, Theo etc. Olivier Giroud will even be better .... ....... .... Welbeck its like he was not there, I'm sorry to say he was completely out of the match. Alexis, not his day. Carzola missed at the end of the game but he had a slightly good game.

BTW kuna watu wanajifanya kukosoa wakati hata mpira wenyewe wanategemea JF kufahamu nini kinaendelea.

Add Arteta to the list. Theo is back lacks form. Alexis ni obvious kachoka, Cazorla alikuwa ni best player leo, plus he has played good in last couple of games. When Rambo and Arteta come back?
 
Wewe kila siku unaota. Utaamka lini?Mara refa, mara majeruhi mara sijui nini. Umejitoa na ufahamu. Manu wana list ya Majeruhi kibao, hamna malalamiko na iko juu yenu. Kubali timu yako ni average at best. Ila hongereni, nyie ni watu wavumilivu sana. Ila dozi ndo zitaendelea, xmas fixtures utaendelea kusema majeruhi, watakapopona May hiyo mnagombea europa safari hii. Na kama ungekuwa unaujua mpira ungekuwa unakubali kuwa timu yako ni mbofu mbofu, hivyo hauujui isipokuwa unaweka mahaba mbele sana. Naiona Europa battle na Spurs kwa mbaaaaaaali.

In Wenger we trust
 
100 mins corner for Gunners ... .. thats it 2 - 2 at least media watakuwa happy refa hakuwa na good game leo, we did not play as well as we would have liked ... .

refa refa kila siku huchoki?? sasa ulitaka afanye nini aingie azuie yeye msifungwe?? kapunguza mtu mmoja wa liverpool na bado goli limerudi...endelea kumsifia profesa wako mwaka wenu huu mtachukua treble.
 
Wewe kila siku unaota. Utaamka lini?Mara refa, mara majeruhi mara sijui nini. Umejitoa na ufahamu. Manu wana list ya Majeruhi kibao, hamna malalamiko na iko juu yenu. Kubali timu yako ni average at best. Ila hongereni, nyie ni watu wavumilivu sana. Ila dozi ndo zitaendelea, xmas fixtures utaendelea kusema majeruhi, watakapopona May hiyo mnagombea europa safari hii. Na kama ungekuwa unaujua mpira ungekuwa unakubali kuwa timu yako ni mbofu mbofu, hivyo hauujui isipokuwa unaweka mahaba mbele sana. Naiona Europa battle na Spurs kwa mbaaaaaaali.

Rant ya kitoto. Kama uliangalia game leo ungegundua jamaa alichosema kipo spot on. Nadhani Arsenal tuna majeruhi wengi sasa hivi kuliko Man utd. Ni kweli na wao msimu huu walikuwa na majeruhi lakini wengi wao wameshapona ukilinganisha na Arsenal.
 
We miss Rambo, Ozil, Theo etc. Olivier Giroud will even be better .... ....... .... Welbeck its like he was not there, I'm sorry to say he was completely out of the match. Alexis, not his day. Carzola missed at the end of the game but he had a slightly good game.

BTW kuna watu wanajifanya kukosoa wakati hata mpira wenyewe wanategemea JF kufahamu nini kinaendelea.

wapi leo vicheko vyako?khekheeeeeeeeeeeeeeee sababu kibao unatafuta,halafu hayo maandishi ya chini yaweke kwa wino wako mwekundu tuupate ujumbe wako vizuri.khekheeeeeèeeeeee, hongera kwa draw safi.
 
We miss Rambo, Ozil, Theo etc. Olivier Giroud will even be better .... ....... .... Welbeck its like he was not there, I'm sorry to say he was completely out of the match. Alexis, not his day. Carzola missed at the end of the game but he had a slightly good game.

BTW kuna watu wanajifanya kukosoa wakati hata mpira wenyewe wanategemea JF kufahamu nini kinaendelea.
10500379_1013093255381756_5945102492026739942_n.jpg

Kila siku visingizio tu ulisema wakirudi Debuch na LK mtakuwa fit wamerudi bado hoi hadi msimu utaishia utaendelea na visingizio hivyohivyo
 
In Wenger we trust

Hongereni. Naona na washabiki wengi wa Arsenal nionavyo comments zenu mmeshakubali matokeo kuwa nyie ni average team, mnaridhika na kuzifunga timu ambazo ni average kina newcastle. Pia record yenu siku hizi ni "W W D L L W D D W", hiyo ni record ya mid table team, ila naona mmeridhika, hongereni.
 
Rant ya kitoto. Kama uliangalia game leo ungegundua jamaa alichosema kipo spot on. Nadhani Arsenal tuna majeruhi wengi sasa hivi kuliko Man utd. Ni kweli na wao msimu huu walikuwa na majeruhi lakini wengi wao wameshapona ukilinganisha na Arsenal.

Mawazo ya watu walioishiwa haya kusingizia refa na majeruhi kila siku
 
Nipo ila nina donge, kwanza tumecheza vibaya na tulistahili kufungwa, wakati nikidhani pamoja na kucheza vibaya tuneshinda wamefanya uzembe na hivyo kupoteza 2 points ambazo ni muhimu sana.

BAK na utafiti mpooo?Leo kuna matumaini....
 
We miss Rambo, Ozil, Theo etc. Olivier Giroud will even be better .... ....... .... Welbeck its like he was not there, I'm sorry to say he was completely out of the match. Alexis, not his day. Carzola missed at the end of the game but he had a slightly good game.
BTW kuna watu wanajifanya kukosoa wakati hata mpira wenyewe wanategemea JF kufahamu nini kinaendelea.

Wellbeck the new Henry
 
Hongereni. Naona na washabiki wengi wa Arsenal nionavyo comments zenu mmeshakubali matokeo kuwa nyie ni average team, mnaridhika na kuzifunga timu ambazo ni average kina newcastle. Pia record yenu siku hizi ni "W W D L L W D D W", hiyo ni record ya mid table team, ila naona mmeridhika, hongereni.

Bora tushuke daraja lakini sio kumtoa Wenger pale..
 
Wameniboa sana, katika mechi ambayo tulistahili kufungwa kwa jinsi tulivyozidiwa, halafu kufanya defensive errors chungu nzima na hatimaye kuwapa nafasi L'pool ya kusawazisha. Sare si mbaya lakini leo tena tumeonyesha jinsi defence yetu ilivyo midebwedo.

Bora umeongea ukweli defensive ni tatizo kubwa, ila hata kwa draw tu hongereni mlikuwa na nafasi kubwa ya kuchukua point 3.
BAK Si mbaya sana ila jana nilikwambia ukaguna umeona sasa ubonde wenu...hongereni lakin hata kwa hilo.
 
Nipo ila nina donge, kwanza tumecheza vibaya na tulistahili kufungwa, wakati nikidhani pamoja na kucheza vibaya tuneshinda wamefanya uzembe na hivyo kupoteza 2 points ambazo ni muhimu sana.

Yani mie mwenyewe nilidhani leo mna matumaini yakuondoka na point tatu hadi nikatoa ahadi yakushabikia arsenal endapo mkifunga ila too bad haikuwa hivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo Man utd hamjawahi kusingizia refa na majeruhi?

Haiwezekani kila siku visingizio vikawa kwa marefa tu majeruhi Man Utd msimu huu imekuwa na hali mbaya sana ya majeruhi kuliko Arsenal lakini kocha amekuwa akibadili mfumo na mbinu kulingana na Wachezaji alionao kwa wakati huo na kulingana na timu anayokabiliana nayo lakini Wenger hana huo uwezo mfumo wake ni huohuo mmoja kila siku awe na majerehi au asiwe nayo.

Mechi ya leo ilivyoanza Arsenal walikuwa wafungwe washukuru tu kocha wa liva hakustuka kufanya marekebisho pale mbele
 
Kwenye mipira ya kona timu inatakiwa kuweka beki mmoja kwenye kila post, sisi mara nyingi hatufanyi hivyo pamoja na kuwa imetugharimu kwenye mechi nyingi sana lakini tunarudia makosa yale yale mara kwa mara. Kungekuwa na beki si ajabu angeokoa na hivyo kupata ushindi na 3 points muhimu.

Back
Top Bottom