Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hii ni habari njema kwa Gunners though timu yoyote iliyoingia 16 bora si ya kubeza, pia ni matumaini yaliyo wazi kuwa safari hii kuna asilimia kubwa za kuvuka hatua hii.
 
Tukishindwa kupita kwa Monaco inabidi Wenger,wachezaji,bodi na sisi mashabiki wote tupelekwe kisiwa chochote ambacho hakina wakaaji tukaanze maisha pekee yetu tujifunze kujitambua au kama vipi tukapumzishwe Quantanamo.
UEFA mafundi ila MUNGU fundi za ya wote maana hizi ni Neema eti.
COYG......!!!!! ImageUploadedByJamiiForums1418658307.264476.jpg
 
Mzee wa ghahawa vipi umeshtushwa au ni furaha tu??

.......si unakumbuka fumba na kufumbua 2006 tulifika fainali?.....
Nzi alisema Arsenal ikichukua CL cup atajiunga nasi, ndio kilichonifanya niangue kicheko, (ndoto yake ikitimizwa!)
 
Last edited by a moderator:
Tukishindwa kupita kwa Monaco inabidi Wenger,wachezaji,bodi na sisi mashabiki wote tupelekwe kisiwa chochote ambacho hakina wakaaji tukaanze maisha pekee yetu tujifunze kujitambua au kama vipi tukapumzishwe Quantanamo.
UEFA mafundi ila MUNGU fundi za ya wote maana hizi ni Neema eti.
COYG......!!!!!View attachment 211298

hehehehehehehehehehheehheheheh
 
23EBD06C00000578-2869853-image-a-1_1418300776105.jpg

Prof akisubiri draw ya CL

Tutakwaana na moja kati ya hizi timu hapa chini

Atletico Madrid, Real Madrid, Monaco, Bayern Munich, Barcelona au Porto. Nimeambiwa Chelsick wamepangiwa kukwaana na PSG tayari, wamepata mteremko.

ulitaka Chelsea wapangwe na timu gani?, simple. logic, washindi wa kwanza kwenye groups wanacheza dhidi ya washindi wa pili,

nina wasi wasi kama huwa unatumia akili angalau kidogo kabla hujapost ujinga wako..

Kumbe kuna members wajanja zaidi, lakini ujanja wao unaishia kwenye Cowshed ..... ..... khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Champions League trophy la Arsenal ndo hilo FA Cup sababu You will never win the Real Champions League trophy ,kule EPL mkimaliza number 4 mnashangilia kuliko aliyeshinda Kombe,
100 + millions spending for the last 3 years Still aiming fourth EPL position,Babu Wenger kawaroga si bure

Mind The Gap.(13 points for your case)

Wacha kelele wewe mwaka huu tunatetea FA cup na ngao tunayo. nyinyi mna nini zaidi ya kuwa na divers uwanjani Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu jambo moja la msingi ni kwamba Arsenal inacheza na Liverpool jumapili ni mechi muhimu kabisa.

Tatizo ni kuongezeka kwa idadi ya majeruhi na wa hivi sasa ni Oxlade Chamberlain ambae ameumia msuli.

Chamberlain alisaidia sana timu yetu kwenye mechi na Newcastle kwa mbio na msukumo mzima wa mashambulizi.

Lakini kuna kila dalili nzuri kwamba Oxlade atacheza jumapili ukizingatia Aaron Ramsey, Mikael Arteta na Jack Wilshere wote ni majeruhi.

Meneja Arsene Wenger ametoa siku tatu za mapumziko kabla ya kukutana tena Ijumaa kujiandaa na safari ya Anfield.
 
Mkuu Richard ulipotea aisee, good to see you. Mechi ya Jumapili si mechi rahisi hasa ukitilia maanani matokeo ya hivi karibuni ya L'pool hivyo watajitahidi sana ili wapate ushindi. Hivyo inabidi tucheze kwa ari kubwa kama tulivyocheza na New Castle ili kuhakikisha points gap iliyopo kati yetu na timu za juu haiongezeki. Magoli ya haraka haraka yatakuwa poa katika kuwanyamazisha wapenzi na mashabiki wa L'pool nyumbani kwao.

Arsenal wanataka kumsajili Gilberto Silva mwingine
149944561.jpg

Romulo ana umri wa miaka 24.

Kocha wa Brazil Dunga anapenda awe kwenye mipango yake.

Alikuwemo kwenye timu ya Olympic ya Brazil mwaka 2012.

Arsenal walijaribu kumsajili Romulo mara mbili mwezi January na Juni mwaka huu.

Mtindo wa uchezaji wa mchezaji huyu unafananishwa na mchezaji wa kiungo ulinzi wa zamani Gilberto Silva ambae aisaidia Arsena icheze msimu mzima Mei 2004 mpaka October 2004 bila kufungwa.

Habari za ndani zinasema Spartak wanamtaka Yaya Sanogo kama sehemu ya dili lakini Sanogo amekataa kwenda Moscow.

Pia timu za Brazil Flamengo na Internacional zinataka kumsajili Romulo kwa mkopo , lakini mchezaji huyo anataka usajili kamili

Hivo ikiwa wakala wa Romulo atafanya kama inavyotarajiwa yaani kukamilisha taratibu zote bila kuwachanganya Arsenal wala timu zingine, basi tutarajie Romulo ikifika January.
 
Mkuu Richard ulipotea aisee, good to see you. Mechi ya Jumapili si mechi rahisi hasa ukitilia maanani matokeo ya hivi karibuni ya L'pool hivyo watajitahidi sana ili wapate ushindi. Hivyo inabidi tucheze kwa ari kubwa kama tulivyocheza na New Castle ili kuhakikisha points gap iliyopo kati yetu na timu za juu haiongezeki. Magoli ya haraka haraka yatakuwa poa katika kuwanyamazisha wapenzi na mashabiki wa L'pool nyumbani kwao.

Mkuu,

Mambo mengi mkuu lakini nimerudi tupo pamoja.

COYG!
 
Kumbe kuna members wajanja zaidi, lakini ujanja wao unaishia kwenye Cowshed ..... ..... khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Babu Wenger hatawahi kuja kushinda hili kombe, Professional Loser
 
Wacha kelele wewe mwaka huu tunatetea FA cup na ngao tunayo. nyinyi mna nini zaidi ya kuwa na divers uwanjani Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Babu Wenger hatakuja kushinda Champions League ,Professional Loser
 
Okey, siwezi thibitisha, sikumbuki vizuri ila nina UHAKIKA nusu fainali hamna draw kama ulivyosema wewe, kama kuna draw nyingine basi ni round inayofuata, robo finali. Ila kwa kumbukumbu zangu, nafikiri kuanzia hapa unawaona maadui zako walioko barabarani wote!

Kutakuwa na draw nyingine. Huu utaratibu ulianza last year but miaka ya nyuma ilikuwa inachezeshwa draw moja TU.
 
Babu Wenger hatawahi kuja kushinda hili kombe, Professional Loser

Babu Wenger hatakuja kushinda Champions League ,Professional Loser

Yaani wewe na ukoo wenu wote mkajikusanye hamuwezi kufikia mafanikio ya Prof. hata mkaibe pesa zote walizokuwanazo warusi bado mtakuwa chini ya Prof khe khe he khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado unawaumiza tu. Chezea kitabu weye, nyie kaeni tu bila kuwa na mbele wala nyuma ... . bloody divers!

BTW na akili zako timamu ukajiita Kalou chacha Kalou ana mafanikio gani katika soka kama chio umburukenge tu.
 
Back
Top Bottom