Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1400x1162-e1418507304638.jpg

B4w2GlAIgAAlBxH.jpg

Vijana wametinga kwenye X-mass dinner usiku huu ... .... ...
 
fabregas.png

Khe khe khe khe khe kkhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eee
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mkuu Ntuzu yule alitaka tu kukuharibia CV yako ndomana alikufunga wiki ilopoita, jana tushamuweka sawa tayari.....

Kabla ya kuniharibia CV yangu nilimwambia ukweli kua akiona jezi ya Chelsea Basi mpk Damu Yao yote inakua tayari kupambana mpk kufia uwanjani lkn wakiona jezi za timu zingine Basi wanacheza km mchezo Wa kirafiki!

Teh Teh Teh nakumbuka km misimu mitatu hivi iliyopita mlikua pale St James Park mnaongoza kwa goli km 4 hivi sikosei baada ya hapo jamaa wakaanza kurudisha Moja baada ya jingine! Teh Teh Teh gunners mnavituko!
 
Hiyo mechi siisahau Ntuzu ilikua ni ile arsenal ya kina Samir Nasri. Walizirudisha kama tumesimama vile
 
Last edited by a moderator:
Hiyo mechi siisahau Ntuzu ilikua ni ile arsenal ya kina Samir Nasri. Walizirudisha kama tumesimama vile

Hahahaaaa vijana Wa Padew ni hatari sn wakiwa kwao! Siku Hiyo Tiote na jamaa mmoja hivi Yuko PSG waliwafanya vibaya sn!
 
Last edited by a moderator:
nahitaji kuunganishwa na mwaarsenal mtanzania anayeishi UK kuna group la whatsap special kwa watanzania,so tungependa kushare nae experience
 
Kabla ya kuniharibia CV yangu nilimwambia ukweli kua akiona jezi ya Chelsea Basi mpk Damu Yao yote inakua tayari kupambana mpk kufia uwanjani lkn wakiona jezi za timu zingine Basi wanacheza km mchezo Wa kirafiki!

Teh Teh Teh nakumbuka km misimu mitatu hivi iliyopita mlikua pale St James Park mnaongoza kwa goli km 4 hivi sikosei baada ya hapo jamaa wakaanza kurudisha Moja baada ya jingine! Teh Teh Teh gunners mnavituko!

Kumbukumbu zako mbovu mbona huandiki kwamba refa aliwabeba na kumpa red card Diaby? Ongelea diving culture ya Chelsick Phew! Get a life. Vipi mmeshakabidhiwa kombe la November? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
We kweli poyoyo that was just story tu si lazima ukumbuke kila tukio! Naona unabwabwaja hovyo tu!
 
Kumbukumbu zako mbovu mbona huandiki kwamba refa aliwabeba na kumpa red card Diaby? Ongelea diving culture ya Chelsick Phew! Get a life. Vipi mmeshakabidhiwa kombe la November? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

We jamaa hv red card ni kwa akili ya upendeleo, af kama vle kesho mtapangwa na Madrid vile
 
The fa cup has been on many great adventures during its 143-year history... But none like its most recent trip to the south pole. As part of an initiative from the fa calling for fans to celebrate the historic competition, the famous old trophy visited the southernmost point on earth in an epic voyage. The day after the third round draw, where premier league liverpool drew afc wimbledon and manchester united will have to travel to either accrington or yeovil, the famous cup was surrounded by penguins by the south pole
23ED371400000578-0-image-a-91_1418176260420.jpg

the fa cup was borrowed from arsenal's trophy cabinet
to be taken to the south pole

23ED372400000578-2867919-Photographer_Martin_Hartley_poses_with_the_FA_Cup_at_the_souther-m-12_1418177383996.jpg

photographer martin hartley poses with the fa cup
at the southermost point

award-winning photographer michael hartley said: 'the similarities between the adventures i go on, and the fa cup is clear to see. Both provide edge of seat moments, victory against the odds and heartbreaking moments of being so close, yet so far away.

'taking the fa cup to the south pole was a truly exciting and unique journey, but it is just the beginning. I look forward to seeing what football fans up and down the country capture at fa cup match days.'

23ED370C00000578-0-image-a-102_1418176659657.jpg

the fa cup is surrounded by penguins in some stunning shots
by photographer martin hartley

Nachikia kwenye kabati la Chelsick walichukua majina ya wezi kutoka Russia .... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom