Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kikosi cha leo:
sczeny
deburch, chambers, martesaker, gibbs.
flamin, ox
sanchez, cazorla, welbeck
giroud.
COYG.
 
Shukrani everlenk niko hapa mkao wa kula baada ya kuangalia mechi ya New Castle na Sunderland sasa nasubiri huu mtanange wetu 20 minutes to go. Liverpool wataanza kwa speed kubwa sana ili wapate goli/magoli ya haraka haraka na hivyo kuwa na support kubwa toka kwa wapenzi wao hasa ukitilia maanani wao watakuwa nyumbani. Tukiweza kupata goli la kwanza sisi itakuwa bomba sana.

Hodii humu ndani,wenyeji mpo??? Haya nawatakia kila lenye heri katika mechi ya leo.

Cc: BAK
 
Last edited by a moderator:
Shukrani everlenk niko hapa mkao wa kula baada ya kuangalia mechi ya New Castle na Sunderland sasa nasubiri huu mtanange wetu 20 minutes to go. Liverpool wataanza kwa speed kubwa sana ili wapate goli/magoli ya haraka haraka na hivyo kuwa na support kubwa toka kwa wapenzi wao hasa ukitilia maanani wao watakuwa nyumbani. Tukiweza kupata goli la kwanza sisi itakuwa bomba sana.

Na wamewapania sana kwakweli mjipange,humu ndani mmepoa kama siyo ninyi hamjiamini nini??
 
Last edited by a moderator:
Refa keshaanza kuwapendelea loser fools, kadi kwa Flamini lakini foul kwa Gibbs kaminya .... .. . Ox and Gunners started very slow so far .... ... ... ..
 
27 mins nil - nil
Huyu refa mpira unamshinda anawabeba sana loser fools ... ... .
 
44min 1 down what a sloppy goal ..... .labda litawaamsha wachezaji wa Gunners ... ..
 
We can not play as bad as the first half, no commitment whatsoever, may be the referee made them feel that way due to his stupid fouls to favour Loser fools ... .... .... ....
 
6min delay injured loser fools injured .... ... .
62min 1 - 1
 
Back
Top Bottom