Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jirani kuna usalama huku?
 
Attachments

  • 1415557880305.jpg
    1415557880305.jpg
    62.8 KB · Views: 138
Ahsante sana kwa kuliona hilo. Kwanini umsajili Campbell kama unataka kumweka bench kila mchezo si angemuacha tu ili aende kwenye timu ambayo kocha atamthamini? Maamuzi yake kwenye usajili na substitutions yamekuwa kikwazo kikubwa cha kufanya vizuri miaka nenda mika rudi. Kwanini usitumie MO (momentum) baada ya kupata goli na hivyo kuongeza mashambulizi ili kuongeza bao moja zaidi kama siyo mawili anaenda kumuingiza tukiwa nyuma 2-1. Kuna tofauti kubwa ya kisaikolojia kwa mchezaji anapoingia huku timu yake ikiwa inaongoza ukilinganisha na ikiwa nyuma. Huu mchezo wa leo wa kubeba lawama ni huyu kocha ambaye kwa kweli amekosa muelekeo wa kuinyanyua timu ili iweze kushindana na timu bora EPL, UEFA na hata duniani.

Kati ya makocha wapuuzi huyu nimmoja wao, kila wakati anafungisha, hawezifanya mabadriko kwa wakati muafaka na

nimbaguzi kwanini camble hampangi ilhali ni mtu muhimu sana...... Asernal tunachokeshana tu.
 
[h=5]Edo Kumwembe
[/h]

.....Sio Messi wala Ronaldo....Arsenal haiitaji kununua staa yoyote. wanahitaji kocha mpya mwenye akili mpya......Hata dini zinachagua viongozi wapya.....dakika ya 89 unataka kusawazisha bao anaingia Sanogo....Hehehehe
 
Mdudu ningeshangaa sana kama nisingekuona hapa, nilijua utazuka tu. Umeacha mizoga ya Kariakoo ili kuufuata mzoga wa mtandaoni. Naona wiki hii utakenua sana.

Dah! Mnavyotia huruma, hata kuwacheka siwezi.

Heri ya United tunajua shida yetu ni nini, kuliko goons wanaojiona wapo kamili kumbe shida ni Aseni Chenga.

Fukuzeni kocha huyo, kaishiwa.

Na tutakapokuja Imarate kuwakalisha ndiyo mtaipata fresh.

#WengerOut
 
We need to play better today in order to collect all 3 points, Swansea is among the best teams in EPL. Stupid mistakes will cost us dearly. COYG!
#InGunnersWeTrust

pamoja sana mkuu. wewe ni arsenali unayejitambua na unajua kuanalyse mpira...kuna wengine humu wana ushabaki wa ki~yanga na simba. sisi The Blues, hatuna wasiwasi, tunaendelea kupiga hatua kuelekea kwenye ubingwa. tatizo la arsenali na profesa wenga.
 
[h=5]Edo Kumwembe
[/h]

.....Sio Messi wala Ronaldo....Arsenal haiitaji kununua staa yoyote. wanahitaji kocha mpya mwenye akili mpya......Hata dini zinachagua viongozi wapya.....dakika ya 89 unataka kusawazisha bao anaingia Sanogo....Hehehehe

hahahaha! watamuachaje profesa wakati anajua kila kitu? chezea profesa wewe!
 
Edo Kumwembe
.....Sio Messi wala Ronaldo....Arsenal haiitaji kununua staa yoyote. wanahitaji kocha mpya mwenye akili mpya......Hata dini zinachagua viongozi wapya.....dakika ya 89 unataka kusawazisha bao anaingia Sanogo....Hehehehe

Akili mpya kama ya kwako nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watu wana wivu na wenger kama tabloids za wingereza kisa ni mfaransa na analipwa vizuri kwa kazi anayofanya khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Utakimbia mwenyewe sisi tupo hapa hadi game iishe ... ... . . .. khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

khe khe khe khe khe khe khe naenda kwetu sasa niliwaambia mjiadae kwa kipigo leo sasa msubiri kipigo kingine game inatofuata....
 
Akili mpya kama ya kwako nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watu wana wivu na wenger kama tabloids za wingereza kisa ni mfaransa na analipwa vizuri kwa kazi anayofanya khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Unatia huruma, masikini!! Wanger atakuua we bishoo!!
 
Mkuu Mbu niko ndani ndani kijijini naomba unitumie matokeo washka gobole tumetokeje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbu niko ndani ndani kijijini naomba unitumie matokeo washka gobole tumetokeje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom