Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

_78871616_55640bb1-2421-4bfd-9833-3c58757e90c8.jpg

Kati ya makocha wapuuzi huyu nimmoja wao, kila wakati anafungisha, hawezifanya mabadriko kwa wakati muafaka na

nimbaguzi kwanini camble hampangi ilhali ni mtu muhimu sana...... Asernal tunachokeshana tu.
 
Ngoja twende kwenye International break tusubiri Giroud arudi rasmi.
 
Kiswahili kinabadilika bhanaaa kuoa na kuwowa vina maana mbili tofauti, miaka michache iliyopita hatukuwa na neno ukarabati hivyo kuwowa pia neno la Kiswahili hata kama halijaingizwa rasmi kwenye kamusi.

BAK kiswahili sahihi ni kumwoa na si kumwowa,kuoa na siyo kuowa,..naombeni nikabidhini my queen nifah
 
To be honest timu bado ni tatizo upande wa beki wa kati na kiungo mkabaji.
 
Kati ya makocha wapuuzi huyu nimmoja wao, kila wakati anafungisha, hawezifanya mabadriko kwa wakati muafaka na

nimbaguzi kwanini camble hampangi ilhali ni mtu muhimu sana...... Asernal tunachokeshana tu.

ni kweli mkuu . angalia huyu kocha swansea alivyofayna yaani mpaka raha . lakini wenger yeye na wafaransa wake.
 
Kwa beki hii ya leo, kushinda mechi yoyote ni miujiza.labda warudi Debuchy & cons.
 
Dah! Mnavyotia huruma, hata kuwacheka siwezi.

Heri ya United tunajua shida yetu ni nini, kuliko goons wanaojiona wapo kamili kumbe shida ni Aseni Chenga.

Fukuzeni kocha huyo, kaishiwa.

Na tutakapokuja Imarate kuwakalisha ndiyo mtaipata fresh.

#WengerOut
 
To be honest timu bado ni tatizo upande wa beki wa kati na kiungo mkabaji.

Si mlikuwa mnadai Chembaz ni bonge la beki?!? Na Flamini ni kisiki?!? Imekuwaje sasa?

Tatizo ni kocha arifu..timueni huyo Aseni Chenga...
 
Kiswahili kinabadilika bhanaaa kuoa na kuwowa vina maana mbili tofauti, miaka michache iliyopita hatukuwa na neno ukarabati hivyo kuwowa pia neno la Kiswahili hata kama halijaingizwa rasmi kwenye kamusi.
BAK tumetoka mbali sana since babu ataka kusema,think twice,think twice please arsenal utakufa presha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom