Mashabiki koko wanachekesha sana, kila mtu ati naye anafahamu kuwa kocha wa mpira, Prof Wenger amekuwa kocha kwa muda mrefu na amekuwa na wachezaji wa kila aina. Mpira pamoja na kufunzwa lazima uangalie na hali iliyojiri katika kila mechi ingekuwa machine basi kila uchwao timu moja tu ingekuwa inashinda. Sina wasi wasi na Wenger's idea and methods, sometime you win and sometimes you lose.
Gunners will rise no doubt about that, the only way is up wakati Chelsick wapo juu the only way is down. Stay tuned ligi bado ndefu hii. Watu wanaangalia gap kati yetu na Chelsick 12 points ambayo ni four games, in EPL four games is nothing ngoja ifike March, April kama bado wapo 12 points ahead ...... ...... ...... ...... COYG. Wote wanaomponda ukiwauliza wamekuwa makocha wapi watakwambia nyumbani kwao khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee