Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umekuja huku kwenu kuna njaa? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Huyo refa anafahamika kaminya faulo kwa Ox na kawapa Swans set piece .. .. .

leo nipo humu kama bundi sitoki hadi mtu afe....
 
Dakika ya 20 bado ni bila bila na jamaa wamekamata kweli katikati.
 
leo nipo humu kama bundi sitoki hadi mtu afe....

Utakimbia mwenyewe sisi tupo hapa hadi game iishe ... ... . . .. khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpaka sasa Swansea wamefanya mashambuliz mengi kuliko Gunners na hakuna shambuliz la maana ambalo arsenal wamefanya.
 
Welbeck clear chance one on one with goal keeper saved . .. . .
 
Pacha utaoaje shabiki wetu bana? Unataka kutupunguzia mashabiki au sio?

Hahhahaha nataka nimpeleke Chelsea bhana maana mashabiki wa arsenal wana moyo najua nifah mvumilivu
 
Last edited by a moderator:
Hahhahaha nataka nimpeleke Chelsea bhana maana mashabiki wa arsenal wana moyo najua nifah mvumilivu

1415551671883.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom