Half time tayari kaka tumebet napata mke live
Pacha kama tunabadilisha unanipa yule doctor wenu itakua poa sana, maana nna mpango wakushabikia chelsea kwajili ya kile kidoctor aise
Hahahahaha pacha unajua kupiga kijicho,unamtaka Eva?
Ivi anaitwa eva vile?? Yaani nikiangalia chelsea naombea mchezaji aumie sio siri ili nimuone tu
Sijawahi ona Chamber anacheza vizuri ile namba,angewekwa kati na Per na 2 angecheza Bellerin.mana Wenger kaweka holes mbili kulia na kati.Nafikiri Wenger ni tatizo la kwanza pale ArsenalSio mbaya kabisa..Montero anamsumbua Chambers
Naomba tubet mkifungwa nakuoa
Pacha mbona unajipendelea sana??