Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Bwabwa1 ndani ya nyumba naona ameitwa kuja okoa jahazi la Aston Village!
...aaahhh,
hawa 'pretenders' aka Chelski nyie wanawasumbua sana akili eeh?
siku zao zinahesabika. Ubingwa wa EPL hawauchukui ng'o!!!
Mimi hawanipi tabu hawa.
Ngoja nirudi kwenye updates za Egypt Vs Algeria.
Chelsick wezi hawa wanaona tonge karibu kunyang'anywa mdomoni. Tena tunawakaribisha kwa mikono miwili wafuatilie maendeleo ya Premier league.
Usiwajali hawa pimbi wapiga tarumbeta huyo peasant kwanza huu msimu wa kilimo yeye anashirikiana na kikojozi sijui keshamkojolea. Acheni lote mwenyewe analialia itakuwa hawa pimbi uchwara.
Hahaaaaaaaa...Mbavu zangu jamani..Unamkumbuka yule waziri wa habari wa Saddam Hussein(Serikali ya Iraq) kipindi kile US na washirika wanakaribia kuichukua Baghdad???
Jani hilo baba!
Kapigwa bao tatu za kifundi na ile NJEMBA ya Stoke-on-Trent, sasa naona anahaha kupata dume type ileile ya Stoke.Bwabwa1 ndani ya nyumba naona ameitwa kuja okoa jahazi la Aston Village!
Mkuu Peasant bonyeza hapa http://img.thesun.co.uk/multimedia/archive/00910/VILLA_910533a.jpg
Sisi wachumba wetu ni hawa jamani. Kwa nini twende mbali wakati totoz ziko kona ya pili tu hapo Emirates! Si unamuona Gallas pembeni kulia ameshachanua tayari, kitu live yaani..anamwita Drogba afanye mambo!
Sisi wachumba wetu ni hawa jamani. Kwa nini twende mbali wakati totoz ziko kona ya pili tu hapo Emirates! Si unamuona Gallas pembeni kulia ameshachanua tayari, kitu live yaani..anamwita Drogba afanye mambo!
Kulikoni? naona watu wametupiga kambi? hii ni dalili kwamba wanatuogopa, Chelskis na Mannures naona mumeunda coallition teh teh teh, wacha tuondoe hizi mechi 3 njiani baada ya hapo ni mteremko tu mpaka kufika May.
IN ARSENE WE TRUST!!
Afadhali we unamjua bingwa hao wenzio mbona wabishi...aaahhh,
hawa 'pretenders' aka Chelski nyie wanawasumbua sana akili eeh?
siku zao zinahesabika. Ubingwa wa EPL hawauchukui ng'o!!!
Mimi hawanipi tabu hawa.
Ngoja nirudi kwenye updates za Egypt Vs Algeria.
mkuu tatizo nimeangalia na mbeleni sidhani kama ben ndio jibu.kumbuka tumempoteza RVP.AW, tunawatundika hawa MANU Jumapili 3-2 hilo halina ubishi kabisa π
mkuu tatizo nimeangalia na mbeleni sidhani kama ben ndio jibu.kumbuka tumempoteza RVP.
mkuu mimi nakuelewa vizuri sana.kinachonichanganya akili ni jinsi kombe liko so open ni kitu kidogo tu pale kuziba pengo la striker na mwali ni wetu.it cant get so open than this trust me.Usiwe na wasiwasi Mkuu. Kuna wakati tulikuwa nyuma kwa point 11 na "Football analysts" wakawa wameshatuondoa kabisa katika kinyang'anyiro cha EPL 2010. Waliokuwa mbele yetu wakaanza kuteleza na sisi pamoja na kuwa na majeruhi kibao lakini tukaanza kufanya vizuri mchezo mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuondoa pengo kubwa lilikuwepo. Sasa kama watateleza tena na tukiweza kuzipita hizi wiki mbili kwa mafanikio makubwa basi si ajabu tukawa tunaimba wimbo huu in few weeks. There it is There it is, Why it took us so long to win EPL championship...LOL! π
Have a great weekend Bro'
http://www.youtube.com/watch?v=Q_3_EdxODcY&feature=related
mkuu mimi nakuelewa vizuri sana.kinachonichanganya akili ni jinsi kombe liko so open ni kitu kidogo tu pale kuziba pengo la striker na mwali ni wetu.it cant get so open than this trust me.
am already having a good weekend getting couple drinks right now lol.have a good weekend too.
mimi hua nasema kila siku hakuna timu rahisi kuwa striker duniani kama arsenal.kwahio hata angeletastriker on loan angeweza kushine.style yetu ya kucheza mpira simchezo ,ni rahisi mno na ndio maana wengi wakiondoka arsenal wanajikuta wanapata tabu ku-shine kwenye timu zingine.Thanks Mkuu nakubaliana nawe kabisa kama AW angeongeza striker mmoja mzuri basi ingekuwa ni motivation kubwa sana kwa wachezaji waliopo maana angeweza sana kusaidia katika mstari wa mashambulizi.