truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Tupo, sisi sio plastic fans. Kwanini tukimbe? kuna nini cha ajabu kimetokea mpaka tukimbie?
hahaha.. sawa mkuuu..
Naona nyota yako inang'aa saivi..ntakupigia ikifika mwezi mei..!
Afadhali nilikimbia ugonjwa wa moyo Wacha1
Tupo, sisi sio plastic fans. Kwanini tukimbe? kuna nini cha ajabu kimetokea mpaka tukimbie?
![]()
35min ... ... .... ngoma bado bila bila .. ..
Dakika ya 8
RSC Anderlecht 0 - Arsenal 0
Mkuu game leo tunacheza vizuri?
Mkuu jamaa wamekaza kama wanacheza fainal