lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
wacha1 tuletee mapicha ya leo bas!khekhekhekhe!
ni kweli!
Kwisha habari yao sjui leo kisingizio kitakua nini.... Si unajua wanacheza na a big team mkuu 😉😉😂😂
Ndoto zishazimwa tayari hapa hata hiyo draw wataishangilia kama ushindi vilee... Na siunajua hapa wanacheza na a Big Team😉😉
Tulia wewee!!! Mpira wowote ule una matokeo aina tatu! Siitaji kukuelezea mwenyewe unajua, hongereni vijana wangu, hamkutoka kapa uwanjani leo!!
COYG
Refa leo alikuwa sio kabisa
Bila huyu Arsene Wenger kuondoka...Arsenal haitafika popote. Zama zake hazipo tena, kwani wakati anaichukuwa Arsenal, Chelsea, Man City zilikuwa underdogs, sasa zimekuwa title contenders babu anatumia janja ile ile.....team haina holding midfielders, ina wachezaji kumi na mbili una shiriki mashindano makubwa 4 utafika wapi?....TUTAEDELEA KUUMIIZA ROHO MPAKA TUTACHOKA BABU WALA HABADIRIKI
yeah! Upo sahihi sana mkuu, tatizo mabadiliko yanauma, Aseno wanaogopa kumpumzisha mzee wenger wakiamini timu itayumba. By the way kwa nini uumie roho, fanya maamuzi kama Ngongo
Safi sana mwambie akajiunge na hawa hapa chini kwenye pesa chafu ... .. ... . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
![]()
Crystal Palace supporters unveiled a banner aimed at Chelsick Romano
Mkuu unafikiri Arsenal wapo kwaajili ya ubingwa? Wenzako kushiliki UCL tu kwao ni mafanikio tosha.Naongoza ligi kwa point 22 na wewe sijui wa ngapi huko Una points 11. Yani ata sikufikirii kabisa...! Nimeshakuweka wewe Arsenal ktk timu ndogo Za kawaida......!
Wacha fujo wewe umeanza kuangalia EPL Jamii Forums wakati wa dirty money ( Ebola ooo ps disease) kabla ya hapo ulikuwa wapi? Kuongoza ligi sio nongwa tena baada ya mechi nane tu unapiga ukelele kama kasuku bado kuna mechi 30 ie kila timu bado ina nafasi ya kunyakua point 90 yaani hata timu ambayo haina point kwa sasa ikishinda mechi zilizobaki inaweza kuwa bingwa kwa point 90. Khe khe khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Usiwe na mashaka sana na kazi ya Prof.
Preshaaaa imerudi....